mshanajn madame b

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Afrika ya Mashariki ya Kijerumani

    Ramani ya Kijerumani ionyeshayo Zanzibar na pwani (mnamo Mwaka1888) Sarafu ya rupia 1 iliyotolewa kwa jina la "Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft" (Kampuni ya Kijerumani ya Afrika ya Mashariki); tangu 1904 zilitolewa kwa jina la koloni yenyewe bila kutaja kampuni tena Afrika ya Mashariki ya...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Utafiti: Paracetamol yaathiri uwezo wa kuzalisha

    Utafiti umebaini kuwa matumizi ya Paracetamol kwa siku 7 unapunguza uzalishaji wa homoni za kiume na uwezo wa watoto mvulana kuzalisha baadaye. Wanawake wajawazito wanapaswa kutahadhari zaidi wanapotumia dawa zozote zilizo na chembechembe za Paracetamol. Utafiti wa Wanasayansi nchini Uingereza...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Video: Padri Pascal Luhengo wa jimbo la Mahenge Morogoro amuomba msaada Rais Samia Suluhu baada ya kukimbia nchi na kwenda mafichoni

    WEZI WATEKA AKAUNTI YA PADRI, WAIBA MAMILIONI Na EVANS MAGEGE – Dar es Salaam GENGE la kimataifa la wezi wa fedha kwa njia ya mtandao limevamia akaunti ya barua pepe ya Padri Paschal Luhengo wa Kanisa Katoliki nchini na kufanikiwa kuiba mamilioni ya fedha yaliyotumwa na marafiki zake...
  5. E

    Hello new member

    Hello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni Nimeamua kujiunga na JF rasmi Leo naombeni mnipokee (NINAMASWALI KIDOGO) -Kwanini members wa JF wanatumia ID fake je?(ni vibaya kutumia ID yako?? ) -tangu nimeanza kuijua JF asilimia kubwa ya watu wahumu ndani wajinadi ni...
  6. palangana

    Ushoga Chini ya Zuria....!!!!!

    Salam wanajamvi; Natumai kuna waliotazama mechi za weekend hii iliyoisha jana. Je, kuna walioelewa maana ya rangi zilizowekwa kwenye vitambaa vya nahodha(Captains), kamba za viatu na mipira iliyotumika? Nimesoma mahali kuwa ni rangi za bendera ya LGBT, ila kampeni ya weekend ilikuwa "Games for...
  7. Mwananchi wa chini

    "Kiburi za Msimu wa Korosho Kanda ya Kusini."

    Serikali ya CCM inaendelea kuboresha maisha ya watanzania kwa kuweka umeme vijijini na mjini. Mwenye Macho hambiwiii Tazama ! Umeme Vijijini hauchagui Aina ya Nyumba ! Tunaamini Uwepo wa Umeme utachochea Mapinduzi ya Kifkra na Maendeleo Kwa Wananchi wetu Vijijini Udumu Serikali yetu ya CCM...
  8. CONVERGENT LIMIT

    Wanaohitaji fuel dispenser na spear zake tukutane hapa

    Kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru uongozi wa jamii forum. KB logistics company ltd tumewaletea huduma kwa karibu na haraka zaidi hasa wale wanaomiliki petrol station na wale wenye hobi ya kufanya biashara ya mafuta. Fuel dispenser zetu ni: Type: Tokheim changlong Flow rate...
Back
Top Bottom