kalynda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Polisi waanza uchunguzi dhidi ya Kalynda E-Commerce

    Uchunguzi huo utafanywa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Uchunguzi na Fedha ili hatua stahiki za kisheria ziweze kuchukuliwa. Msemaji wa Jeshi hilo, David Misime ametoa tahadhari na kusema "Ni lazima kila mmoja wetu atambue kuna...
  2. C

    Kwanini Serikali iko kimya kuhusu utapeli wa Kalynda?

    Inasikitisha sana kuwa serikali yetu iko kimya sana kuhusu hii ishu. Nini kifanyike ili wananchi wa Tanzania wasikumbane na madhila ya namna kama hii? Elimu itolewe kuhusu utapeli wa mitandaoni.
  3. Tengeneza Njia

    JATU ifuatiliwe - ni kama Kalynda tu!

    Ndugu zangu, Jana nimepata wasaa wa kuzungumza na mdau mmoja akanielezea namna amesikia hii issue ya Kalynda na kuilinganisha na kile kinachoendelea JATU! Tayari nimeona nyuzi kadhaa zilileta hii issue mpaka pale serikali ilipotoa tamko lakini mzee wa watu ambae ni mwanachama wa hii JATU...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Niliuza nyumba yangu nikawekeze Kalynda, nikiamini baada ya muda mfupi ningerudi kuinunua tena. Nyumba imeenda, hela imeenda

    Wahenga walisema tamaa iliua fisi. Nyumba imeenda, pesa imeenda. Sijui niwalaumu Brela, sijui niwalaumu Usalama wa taifa? Sijui nimlaumu yule dada aliyekuja kunishawishi? Mshana Jr, nitafutie ndumba ya kuwafuta wote waliosababisha niwe zuzumagic, mpenda miujiza, niliyejawa na tamaa ya fedha na...
  5. Kingsmann

    BRELA: Kalynda ilipewa leseni ya kuuza vifaa vya kielektroniki

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na mawasiliano pamoja na ufanyaji wa biashara ya kiteknolojia ya kimataifa mtandaoni. BRELA imesema...
  6. APPROXIMATELY

    Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

    Hii ishu niliisikia kwa aunt,toka mwezi wa 6 hivi, nikajiunga vinzuri ila ishu ilikuja pale nilipotaka kuweka pesa, kila nikisema ngoja nikaweke pesa nakuwa bize napotezea. Nikaipotezea kama miezi 2, mwezi wa 8 aunt akanionyesha ela zake kwenye account duuh account imeshiba kinoma inakama...
  7. 2019

    Kupigwa na Kalynda sio mwisho wa utapeli Tanzania, bado tutapigwa sana

    Nasema haya najua kuna watu watapuuza ila baadae ndio wataelewa. Kwanza kabisa hawa matapeli wana mbinu kama za shetani...kivipi? Shetani ili akupate hawezi kuja mwenyewe sababu utamwogopa na hutamwaanini,lazma aje kupitia marafiki na watu wako wa karibu yani unaowaanini. Hivyo hivyo hizi...
  8. political monger senior

    Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

    Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now Kalynda wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Kalynda Wasishtakiwe, hii ndio maana halisi ya usimuonee Huruma masikini na mjinga

    Kwema Wakuu! Kuna watu hata uwape majibu ya mtihani bado Watafeli pakubwa, alafu watakuwa wakwanza kulalamika. Taikon ni mtu wakuwapeni Magaka/majibu ya mitihani kabla ya kuingia Chumba cha mitihani. Ukiona Jambo nimeliandika ujue tayari nishalifanyia uchunguzi wa kina, na Kwa vile sio hulka...
Back
Top Bottom