Kama kichwa kinavyo jieleza.
Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam.
Kama unayo dukani kwako taja bei yako na location ya duka lako bila kusahau mawasiliano yako.
Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu.
Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato.
Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
Wakuu habari.
Store ndogo sqm 18 hadi sqm 25 inahitajika iwepo maeneo ya kariakoo, Magomeni au Keko kwa mwenye kuweza kufahamu au kuniconnect tafadhali nicheck inbox.
Marry Christmas to you all!!!
Ni ndugu yangu anahitaji ford tractor kuanzia namba 6000 na kuendelea iwe na four wheel drive.
mahali alipo ni mafinga,iringa lakini popote litakapopatikana atakuja.
Mawasiliano:0786595669/0759096558
Anyaehitaji yupo Mwanza. Anahitaji kidogo ya kwenda kujaribisha kwenye shamba lake.
Kama unafahamu inakopatikana naomba taarifa tafadhali.
Muhusika si member humu, kwa hiyo ni muhimu kuweka bei na mawasiliano, hasa y simu.
Natarajia kumpa mrejesho Usiku wa Jumatatu, 13/11/2023.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.
Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba...
Hello Wana jf,
Mshikaji wangu anapitia wakati mgumu akiwaza kozi ipi asome.
Amehitimu kidato Cha sita mwaka huu PCB na ana division one ya point 6 yaani BBB.
Ipo wazi Muhimbili MD hapati lakini huko ameomba Dental surgery,. Zaidi ameomba Medical doctor (MD) udsm. Na vipi pote akubaliwe kozi ipi...
Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri
Location: Mwanza
NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
Wassalaam!
Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yà miwa inahitajika
Location: Dar es salaam
Condition: used
Offer: 500k
Karibuni tufanye kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.