Hivi DAWASA haina msimamiz?

Oct 20, 2019
18
52
Kuna mgao wa Maji sugu unaendelea katika Jiji la Dar es Salaam.
DAWASA walikuwa wamekata Maji kwa muda wa majuma matatu bila kutoa taarifa. Wananchi walipoanza kuhoji, sasa hivi wamakuja na mtindo wa kufungua Maji kwa muda mfupi halafu yanakatika. Kwa mtindo huu hata kupata Maji ya kuhifadhi inakuwa ngumu.
Nimeshaongaa leo nikiwa mitaa ya Mbezi Luis, nilipiga simu kwa wauza Maji wa kwenye magari, akaniambia ataniletea Maji muda si mrefu kwa kuwa anakaribia DAWASA Mbezi kuchukua Maji. Nikashikwa na butwaa, yaani hawa DAWASA wanaotakiwa watufungulie Maji, wanauza Maji kwa wauzaji wa Maji ili sisi tununue kwa Bei ya juu.
Hiki kinachofanyika ni hujuma ya wazi dhidi ya wananchi, serikali iliangalie hili suala. Waziri wa Maji chukua hatua kuwawajibisha viongozi wa DAWASA. Kama waziri hawezi kuzisimamia idara zilizopo chini yake ni bora ajiuzulu.
Swali la kujiuliza , je ni nani ananufaika na hujuma inayofanywa na DAWASA? Je viongozi hawajali yanayoendelea ?
 
DAWASA ni chaka la Wahaya,kuna uhuni mwingi sana ndani mule!
 
Alipotolewa Luhemeja pale nikajua DAWASA kwisha habari. Mtu anapofanya vizuri mahali, aachwe. Mamlaka ziwe makini sana.
 
kwa kweli hii tabia ya kuuza maji kwa malori ni mbaya sana! dawasco wanakula hela kupitia ushetani huu
 
"Changamoto ya Umeme..
Si unajua umeme hakuna...
Mitambo haiwaki bila umeme...
Changamoto ya Umeme kwenye mitambo..
Maji hayana presha"

Kiula Kingu
Afisa Mtendaji - DAWASA

Source: TBC1 KIOO
 
"Changamoto ya Umeme.. Si unajua umeme hakuna
Changamoto ya Umeme kwenye mitambo..
Maji hayana presha"

Kiula Kingu
Afisa Mtendaji - DAWASA

Source: TBC1 KIOO
Huyu CEO aondoke maramoja.Arudishwe Ruhemeja waliomuondoa kwa mizengwe
 
Kuna mgao wa Maji sugu unaendelea katika Jiji la Dar es Salaam.
DAWASA walikuwa wamekata Maji kwa muda wa majuma matatu bila kutoa taarifa. Wananchi walipoanza kuhoji, sasa hivi wamakuja na mtindo wa kufungua Maji kwa muda mfupi halafu yanakatika. Kwa mtindo huu hata kupata Maji ya kuhifadhi inakuwa ngumu.
Nimeshaongaa leo nikiwa mitaa ya Mbezi Luis, nilipiga simu kwa wauza Maji wa kwenye magari, akaniambia ataniletea Maji muda si mrefu kwa kuwa anakaribia DAWASA Mbezi kuchukua Maji. Nikashikwa na butwaa, yaani hawa DAWASA wanaotakiwa watufungulie Maji, wanauza Maji kwa wauzaji wa Maji ili sisi tununue kwa Bei ya juu.
Hiki kinachofanyika ni hujuma ya wazi dhidi ya wananchi, serikali iliangalie hili suala. Waziri wa Maji chukua hatua kuwawajibisha viongozi wa DAWASA. Kama waziri hawezi kuzisimamia idara zilizopo chini yake ni bora ajiuzulu.
Swali la kujiuliza , je ni nani ananufaika na hujuma inayofanywa na DAWASA? Je viongozi hawajali yanayoendelea ?
Mkuu poleni kwa kadhia hii
 
Back
Top Bottom