Mliopata ajira kupitia PSRS, status za application zenu zilikuwaje kabla ya kupata kazi na sasa hivi zikoje?

Ahmet

JF-Expert Member
Oct 15, 2019
1,537
3,404
Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje?

Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa.

NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri walamba asali watuambie waliona nini.
 
Safari hii namie inshallah nitalamba asali ya kudumu.

Mkuu hongera inaonekana mambo yashakunyookea.
Vp tuambie ulifanyaje fanyaje ili nasie tupitie humo humo hata kufikia januari inshallah nasisi tuwe tunanyonya mrija wa asali.
 
Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje?

Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa.

NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri walamba asali watuambie waliona nini.
ipo ivi Nilikuwa shortlisted kwenda written ! nikafanya written, application status ikaja selected for oral ! nikapiga oral zikapita kama wiki mbili nikaona Tena imekuwa selected for interview No PSRS/..../.../... ilovotoka pdf ya placement nikaona jina langu ila pia kwenye upande wa account yangu application status ikawa Shortlisted for interview No PARS/.../../..
 
Shukrani Kwa ufafanuzi mzuri, Mungu akubariki
 
Boss naomba introduction ya oral inavokuwa Kuna kuwa na maswali mangapi
Mara nyingi maswali huwa 5 Hadi 7, na huenda majibu yako yakazalisha maswali zaidi.

Baada ya kufanya presentation wakaniambia nitoe short history about my self.

Then wakaniuliza swali kuhusu presentation niliyofanya.

Maswali hutegemeana na field husika. Mfano Mimi waliniuliza njia zipi utazitumia kutatua tatizo la utoro kwa wanafunzi (University students)

Unadhani Nini kinafanya mwalimu kuwa ineffective

Wakaniambia nitoe weakness moja ya theory niliopresent (ilikuwa behaviorism)

Na maswali mengine nimesahau
 
Back
Top Bottom