apartment

An apartment (American English), or flat (British English, Indian English), is a self-contained housing unit (a type of residential real estate) that occupies only part of a building, generally on a single story. There are many names for these overall buildings, see below. The housing tenure of apartments also varies considerably, from large-scale public housing, to owner occupancy within what is legally a condominium (strata title or commonhold), to tenants renting from a private landlord (see leasehold estate).

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    Jenga kwako, usiridhike na vyumba / apartment za kupanga! ukifariki msiba utaombolezwa kwenye apartment? watoto wataishi wapi kodi ya mwezi ikiisha?

    offcourse ni vizuri kijana unamkuta kapanga apartment yake ama self contained, ana usafiri wake, biashara ama kazi inamlipa fresh, ana mke na watoto wawili tayari, n. k lakini kipengere kinakuwa kwamba sehemu anayoishi ni ya malipo kwa kila mwezi bado hana pake. Jenga kwako hata kama ni nyumba...
  2. lukatony

    Natafuta nyumba ya kupanga Tabora Mjini au apartment

    Msaada jamani, Natafuta nyumba ya vyumba 3, nzuri au apartment Tabora mjini isiyozidi 2.0M, mwenye nayo au anijulishe please! Hela hiyo ni kwa mwaka. Kimoja self, iwe na Uzio na usalama wa kutosha!
  3. Mustapha maDish

    INAUZWA Tunauza, kufunga na kufanya marekebisho ya visimbuzi aina zote, pamoja na CCTV Camera na Uzio wa Umeme

    Kwa Tsh 77,000 tu!! Unapata: Dish, Decoder HD, Cable, ( vifaa vyote ), kifurushi Cha family cha Tsh 29,900 na unapata fundi wa kukufungia bila kulipa gharama ya ziada!! Ili kupata offer hii piga 0789476655 WhatsApp +255784378129 Offer hii ni kwa Dar pekee!! Mengineyo yote kuhusu DStv Kama:-...
  4. Black Thought

    Unaweza kujenga “Apartment” yenye nyumba tano kwa mchanganuo huu

    Habari wakuu. Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo) Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita) Tofali za Boma = 5015 Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc Nime’attach picha yenye...
  5. Kitomai

    House4Sale Apartment (Nyumba ya ghorofani) Inauzwa Msasani. Sea View Apartment

    Bei Tshs 414,000,000. Maelewano yapo. Apartment ina muonekano wa kuvutia. Ukiwa katika hii Apartment unatazama Bahari ya Hindi. Ina vyumba vitatu vya kulala vyote ni self contained ( Master bedrooms) , subule, jiko la kisasa na mahala pa kula. Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa...
  6. Kitomai

    House4Sale Nyumba ya Ghorofani (Apartment) Inauzwa Upanga

    Nyumba ina muonekano wa kuvutia. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kinajitoshereza ( Masta bedroom) , subule, jiko la kisasa na mahala pa kula. Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa marekebisho yasiyo na ulazima wowote Hii ni nyumba imejengwa kwa...
  7. Kitomai

    House4Sale Beautiful 3 Bedroom Apartment with pool & gym for sale – Upanga, Dar es Salaam

    Three Bedroom apartment fully furnished with a clean and inspired look. Layout — a living room with a dining area and a kitchen, three bedrooms one with bathroom, the other two with a shared bathroom. Interested to buy this apartment? Give your offer by sending a message on whatsapp (+255) 755312233
  8. Kitomai

    House4Rent Ground Floor Apartment for Lease in Upanga

    ~ 2 Bedrooms. ~1 Bath and Toilet. ~Price: TZS 900,000. ~ Payment terms: Six months ~Agent fees applies, Please call or whats to arrange viewing or further information 0755312233
  9. BROKE BOYS

    Msaada wa apartment

    Wadau habari zenu, bila poteza muda naomba msaada wa sehemu ambayo nitapata apartment ya kulipia mtu anakaa siku3 tu. Hapa DSM kuna zile apartment mtu anaweza kodi kwa siku kazaa then anasepa. Maeneo yawe mazuri kama Upanga, Masaki, Mikocheni, Mbezi beach nk. Mtu nakuja na family akiwa na mke...
  10. Dr. Zaganza

    Nahitaji Apartment Mbezi,Kimara na maeneo jirani

    HYabari wakuu Nahitaji bajeti maeneo hayo :Mbezi,kimara, goba, Malamba mawili Bajeti kwa mwezi: 150,000 hadi 180,000 Piga 0713 039 875
  11. SAYVILLE

    Nawezaje kupanga katika apartment ya NHC

    Nawaza kutafuta na kupanga katika apartment ya NHC iliyo katika standard nzuri ingawa iwe katika gharama za kawaida. Ningependelea iwe wilaya ya Kinondoni. Embu tufahamishane taratibu ni zipi kufanikisha hilo? Na pia kuna watu wanaweza kushare uzoefu wao katika huduma na ubora unaopatikana...
  12. Kitomai

    House4Sale Nyumba ya ghorofani (Apartment) Inauzwa Kinondoni

    Inavutia, bora na ya kisasa. Ipo Upande ambao unaitazama bahari ya Hindi. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kinajitoshereza (self contained), jiko, pahala pa kulia chakula, sebure na sehemu ya kupaki magari mawili. Ina gym na pool za ku-share. Bei na maelewano yapo. Kuiona piga simu/whatsapp...
  13. Kitomai

    House4Rent Furnished 3 bedrooms apartment for rent at Kariakoo Dar es Salaam

    The Apartment is located along Nyamwezi Street. Simple, but with assured comfort. It located in a safe and secure neighborhood, in a complex with 24-hour security. Its central location ensures a bit of everything for everyone. The Apartment offers the utmost comfort and convenience. The...
  14. Kitomai

    2 BEDROOM APARTMENT FOR RENT IN SINZA DAR ES SALAAM TSh 1,000,000

    Terms:6 Months in advance No of bedrooms:2 No of bathrooms:2 Amenities: Air Conditioning Description This two-bedroom en suite apartment offers generous space and it is in good condition., it will suit a young family perfectly! Call Kitomai on +255784225000 to arrange viewing
  15. Kitomai

    3 BEDROOM APARTMENT FOR RENT IN KIJITONYAMA, DAR ES SALAAMTSh 1,000,000

    Terms: 6 Months in advance No of bedrooms: 3 No of bathrooms: 2 Description Spacious apartment in a solidly constructed and well-maintained complex is an excellent option for those scaling down.. The other key elements that attract residents are catering and housekeeping services, 24 hour...
  16. Kitomai

    House4Rent Bedrooms apartments for rent in Ada Estate, Dar es Salaam tsh 1,000,000

    Terms: 6 Months in advance No of bedrooms:3 No of bathrooms:2 Amenities: Generator Provided Security Guards Included The compound is well secured with CCTV. Amenities include,1 lift, a communal power back-up generator for lighting the common areas only as well as both ground and parking...
  17. Kitomai

    House4Sale Nyumba ya Ghofoani a.k.a apartment Inauzwa Dar es Salaam City Centre/POSTA. Tshs90mil TU

    Inapatikana –Mtaa wa Mosque , Posta. Nyumba ina jiko lenye makabati, mahala pa kula, subule, choo, bafu na vyumba viwili vya kulala. Ni nadra sana kupata sokoni nyumba kama hii ikiuzwa bei kama hiyo Dar city centre fursa kama hizi utokea mara chache sana. Umeipenda? Wasiliana nami kwa sms...
  18. Kitomai

    5 Bedroom Ground Floor Apartment For Rent at Upanga TZS 3,910,000

    Extremely large 5 bed ground floor apartment, a modern luxury standard is for rent unfurnished. Offering a total of 350m2 interior, this 5 bed apartment is one of the largest in the urbanization. Inside, the property features an impressive entrance hall, a huge open-plan living and dining area...
  19. Magari Nusubei

    House4Sale Nyumba yenye apartment 3 inauzwa milioni 36 tu

    Ni nyumba 1 yenye apartment 3 unazoweza kupangisha Kuna 1.chumba self na sebule na jiko 2.chumba self na jiko 3.chumba self tupu Ipo Tabata Segerea Bei ni milioni 36 tu Mawasiliano 0677 818283
  20. Magari Nusubei

    House4Sale Nyumba mpya yenye apartment 3 inauzwa

    Ni nyumba 1 yenye apartment 3 unazoweza kupangisha Kuna 1.chumba self na sebule na jiko 2.chumba self na jiko 3.chumba self tupu Ipo Tabata Segerea Bei ni milioni 36 tu Mawasiliano 0677 818283
Back
Top Bottom