Utabiri: Simba Vs A Ahly, Simba atafungwa goli chini ya 3 Yanga atapata sare

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,969
22,163
Sio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea

Mechi ya SIMBA vs Al AHLY
SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu.

Pona ya SIMBA kudrw ni Red card....

Yanga vs mamelody

Ft so far naiona drw dk 90

Either kuna red card ama lah mpaka sasa ft draw

Marudio kutakuwa na mshangao kidogo soon ntawajulisha......Miracle happen

Rgds dk pdi
 
Kwanini usisubiri.

Mbona Mechi ni kesho tu ndugu yangu. Au unataka kujionyesha kuwa mjuaji sana ama mmwenye maono.

Kila mtu akitaka kuleta utabiri wake hapa itakuwaje????????

Muda Ni hakimu wa Kweli kabisa kabisa.
anahukumu kwa haki.

SUBRA YAVUTA HERI.
 
images (1)-1.jpeg
 
Daah mpira umekushinda Brother Al walivyo Unga vile hizo goli tatu wanazitoa wapi watu wanasafiri na sahani na mapipa kama enzi za kina Jim Mored au Stiven Nemes..
Umenishinda eeh ... Sona uelewe chin ya GOLI 3
1-3
 
Kwanini usisubiri.

Mbona Mechi ni kesho tu ndugu yangu. Au unataka kujionyesha kuwa mjuaji sana ama mmwenye maono.

Kila mtu akitaka kuleta utabiri wake hapa itakuwaje????????

Muda Ni hakimu wa Kweli kabisa kabisa.
anahukumu kwa haki.

SUBRA YAVUTA HERI.
Amen SIMBA ashaliwa
 
Si umeona wamepata hizo goli tatu ulizotabiri...
SOMA UELEWE
WATAFUNGWA CHINI YA GOLI TATU
WAPI WAMEANDIKA ANAFUNGWA 3
KISWAHILI KIDOGO ELEWE USIKIMBIILIE KUANDIKA ...
ZAIDI YA GOLI TATU UJASOMA HATA BASIC MATH. LESS THAN GREATER THAN
 
Back
Top Bottom