Search results

  1. K

    Mbunge Malocha ahutubia Wananchi dhidi ya Mwekezaji; Wateketeza Matrekta ya shamba la Kanisa Efatha

    mbunge huko sumbawanga amehamasiha watu kuchoma moto KANISA,GHALA LA MAHINDI,NYUMBA NA MATREKTA chanzo ITV wenye taarifa kamili tunaomba mtujuze hapa jf.
  2. K

    nina 5mil. cash je nitapata gari?

    naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.
  3. K

    Udsm first year ada zabadilika

    nimeingia kwenye website ya udsm ada zimebadilika mfano kwa wanafunzi wa sheria imeshuka toka 1,500,000. to 1,380,000.lakini sijui kwa kozi zingine kama zimepanda au zimeshuka nawaomba mcheki kwenye website ya chuo University of Dar es Salaam - Tanzania - Home - mtaona mabadiliko katika ada...
  4. K

    Maskini mwenzenu heslb yasababisha kuua baba yangu na mama yangu

    Kwanza kabisa nawaombeni msamaha wana jamii wote wapenda amani kwa kitendo changu cha kuwaua kinadharia wazazi wangu hali wangali wazima. nililazimika kufanya hivyo ili niweze kupata mkopo asilimia mia kwani hali za wazazi wangu ni dhoofili bin taabani hivyo nilichangamka na nikasajili vifo vya...
  5. K

    Duu! Lecturer wa chuo ataga baada ya kupigishwa paper

    jamani ajabu na kweli jamaa alieomba nafasi ya tutorial assistant (lecturer) katika chuo cha mwalimu nyerere memoral academy(MNMA) matokeo yametoka angalieni (PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS) amelamba zeroooooo! kwa lugha nyingine ametaga najiuliza jamaa amemaliza chuo gani na je...
  6. K

    Vyeti vyeti vyeti vya ardhi university.

    Jamani waungwana nawaomba mnifahamishe kuhusu utolewaji wa vyeti vya ardhi university kwa wahitimu tuliomaliza chuo ardhi university kutoka 2007-2010 umefikia wapi? tafadhali kwa yeyote mwenye ufahamu wa ndani kuhusu jambo hili anijulishe kupitia ukurasa huu wa jf kwani tumekuwa madei waka kwa...
  7. K

    Grade za mikopo first year udsm hadharani.

    :israel: Kwa wale wenye shauku kubwa ya kutaka kujua umepangiwa daraja la ngapi na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka kwanza udsm yaani 2012/13 angalieni mwisho wa matokeo yenu ya o-level kulia mtaona alama A,B,C,D...... ikimaanisha ni asilimia ya kiwango cha mkopo utakacholipiwa na bodi ya...
  8. K

    Grade za mikopo first year udsm hadharani.

    :israel: Kwa wale wenye shauku kubwa ya kutaka kujua umepangiwa daraja la ngapi na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka kwanza udsm yaani 2012/13 angalieni mwisho wa matokeo yenu ya o-level kulia mtaona alama A,B,C,D...... ikimaanisha ni asilimia ya kiwango cha mkopo utakacholipiwa na bodi ya...
Back
Top Bottom