nina 5mil. cash je nitapata gari?

KYALUMUKUNZA

Senior Member
Aug 19, 2012
145
28
naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.
 
Bajaj shiling millioni nne na Nusu, wewe millioni tano unataka gari!! anyway wapo wenye GX 100 zao ambao wanataka kubadili magari utapata usikonde lakini inabidi uje mwenyewe Dar.
 
naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.

Unajuwa kuendesha gari? au unataka la biashara na dereva unae?
 
naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.

Unataka gari ya aina gani? sasa hivi magari kwa ajili ya usafiri wa binafsi watu wanachagua cc ndogo kuanzia 1600 na kushuka. Mimi naweza kukuzia ya cc 1300 ninaitumia mwenyewe, na iko vizuri sana. Lakini pia naweza kukuagizia kwa kitu kama miilioni 7, sasa uchague nikufanyie order ya mpya chini ya km. 70,000 au uchukue hiyo yangu ambayo ndio imevuka tu i km 100000 kwa 5. mil. Gari yenyewe ni manual DAIHATSU STORIASALOON CAR.
 
Gari ya km 70,000 inakuwaje mpya tena? Wewe mwambia tu umwagizie used ambayo ni chini ya km 70,000 na si kumdanganya kuwa ni mpya.
 
Unataka gari ya aina gani? sasa hivi magari kwa ajili ya usafiri wa binafsi watu wanachagua cc ndogo kuanzia 1600 na kushuka. Mimi naweza kukuzia ya cc 1300 ninaitumia mwenyewe, na iko vizuri sana. Lakini pia naweza kukuagizia kwa kitu kama miilioni 7, sasa uchague nikufanyie order ya mpya chini ya km. 70,000 au uchukue hiyo yangu ambayo ndio imevuka tu i km 100000 kwa 5. mil. Gari yenyewe ni manual DAIHATSU STORIASALOON CAR.

nimeipenda hii.....ndo ile inafanana na Duet....?
 
mmmhh.....Duet si ni Toyota......?

Preta Check this out. you can verify on Daihatsu official website then go to Corporate Information

September 19, 2012
Daihatsu Motor Co., Ltd.
Toyota Motor Corporation
Daihatsu and Toyota Announce New Cooperative Business in Indonesia
– Innovative, New Compact Daihatsu and Toyota Models to Open New Market–
–Daihatsu to Supply Toyota Under OEM Arrangement–
Daihatsu Motor Co., Ltd. (Daihatsu) and Toyota Motor Corporation (Toyota) announce a new cooperative business in Indonesia, under which the two companies are to respectively market a new Daihatsu-brand and Toyota-brand compact car there. The Daihatsu "Ayla" and Toyota "Agya" have been designed in consideration of the Low Cost Green Car (LCGC) policy, which is currently under Indonesian government review. Daihatsu is to supply Toyota with the Agya under an OEM arrangement.
Toyota Agya
Daihatsu Ayla
Vehicle planning and development is to be carried out by Daihatsu, while production is to take place at the new Suryacipta, Indonesia factory of P.T. Astra Daihatsu Motor, an Indonesian subsidiary of Daihatsu. Both the vehicles are planned for display at the Indonesia International Motor Show (September 20-30, 2012) as models planned for sale in Indonesia.
As ASEAN countries increase their importance as core markets for growth, Indonesia, with its continuous high growth, is an extremely important market for Daihatsu and Toyota. Since the start of production in Indonesia in 1968 for Daihatsu and 1971 for Toyota, both companies have leveraged their strengths to deliver optimum vehicles such as the Daihatsu "Xenia", Toyota "Avanza", Daihatsu "Terios" and Toyota "Rush" to consumers in Indonesia, as well as continuing to contribute to motorization and the development of the automobile industry.
The two new vehicles are based on the expertise cultivated for the Daihatsu "Mira e:S"-representing part of Daihatsu's efforts in making fuel-efficient, affordable, compact cars. The vehicles are a thorough exploration of Indonesian needs, based on a development structure planned with the participation of Astra Daihatsu Motor. The Daihatsu Ayla and Toyota Agya-cars for Indonesia, from Indonesia and a perfect fit for Indonesia-deliver affordability and fuel efficiency to satisfy more consumers.
 
naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.

habari bi/bw.Kyalumukunza ni PM Ili nikupe number yangu na mdogo wangu anauza gari mpya kabisa ila utabidi uongeze kama laki 5
 
naomba mnisaidie je naweza pata gari ilitumika isiwe imechoka kwa kiasi cha mil.tano please kama kuna mtu anayo au anahabari ani pm ili tuweze wasiliana nipo dodoma ahsanteni.
Mkuu, hiyo pesa utapata gari zuri tu miongoni mwa haya, tena just imported au hata yard.
Magari unayoweza kupata ni Nissan March, Mazda Demio au Toyota Starlet. Na yanafaa kwenye barabara nzuri ili usipate pressure, pia ni very economic kwa ulaji wa mafuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom