Search results

  1. Patriot

    Waziri Mkenda, TCU, na wabunge saidieni wanafunzi wa SUA kuna shida ya maamuzi ya uongozi

    Kwa maelezo haya ina maana Mitihani ya wanafunzi sasa ni sehemu ya mradi wa chuo. Ukiwauliza viongozi hawa siyo ajabu wakasema gharama ni kubwa na bhla-bhla nyingiiii! Ukweli ni kwamba ni ukosefu wa mawazo yanayofaa, naogopa kusema ujinga. Vyuo vya maana, siyo tu vinatoza ada, bali pia...
  2. Patriot

    Baada ya maelezo ya CDF juu ya uraia wa wateule, tunaomba kufahamu uraia wa viongozi wetu

    Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe...
  3. Patriot

    Hongereni uongozi wa SUA kwa kufuta kozi za fizikia

    Yaonekana ni udhaifu wa vyuo vyote. UD nayo sasa eti inafundisha kilimo. Wasiwasi wangu ni kuanzia kwa viongozi wa vyuo hivi. Ukikutana na mmoja wa viongozi wa vyuo vyetu, usiangalie suti aliyovaa. Halafu ongea naye, mara moja unakata tamaa. Hawajitambui. Miaka niliyosoma waziri akitumwa kuja...
  4. Patriot

    DOKEZO UBORA WA ELIMU inayotolewa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) unatia shaka

    Hiyo inaitwa University of TBC> Hawa jamaa vipi? Siku hizi imekuwa ni mashindano kuonesha vipindi TBC utadhani vipindi vya maendeleo ya kijiji cha ujamaa. Yawezekana kuna mashindano ya kutaka kuonekana ili baadaye rais asema viongozi hawa wanafaa. Kwa mimi m-Tz wa kawaida, nataka matokeo ya...
  5. Patriot

    Rais Samia anakula maisha arabuni, Bila salamu za rambirambi, wazazi wa Joshua Mollel wakipambana wenyewe

    Ni rais mzembe tu! Hata kurudi toka Dubai ni mpaka kelele zilipigwa ndo akajitambua kwamba Hanang kuna mafuriko. Arabuni kwake ni zaidi ya Kizimkazi. Ni matokeo ya ubwana na utumwa. Ukitaka kuelewa zaidi Soma kitabu cha Walter Rodney; How Europe Underdeveloped Africa. Madhara ya utumnwa ni...
  6. Patriot

    Rais Samia anakula maisha arabuni, Bila salamu za rambirambi, wazazi wa Joshua Mollel wakipambana wenyewe

    Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa...
  7. Patriot

    'Vitoto' vya wanasiasa vinaingizwa ktk siasa, eti wengine waende kujifunza kilimo Israel!

    Najiuliza kama mtoto wa Samia ndo angekuwa ametekwa tangu tar 7 je, wangesubili hadi Hamas watoe video ya mauaji kweli? Hii tabia ya kuamini wako salama na vitoto vyao....! Na sasa vikiingia tu, nao utakuiwa mradi wa kuchota pesa za serikali na kuvigawia. Vinaanza wizi kabla hata ya kujua...
  8. Patriot

    Rais Samia unaamini mtu kama Mchechu anastahili kuwa msajili wa Hazina?

    Sasa UDOM wanafungua tawi Njombe, anakotoka VXC wa UDOM, anakotoka Msajili wa Hazina, anakotoka katibu mkuu kiongozi mdogo wake VC wa UDOM. Mnyororo wa ukabila umeanza sasa! Mwanzilishi ni Luhanjo anayeaminika anajua kuwafunda viongozi.
  9. Patriot

    Ngorongoro wanajengewa nyumba, Hanang pia wasaidiwe ujenzi wa nyumba

    Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni pesa ya serikali. Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63 Kama...
  10. Patriot

    Hakuna sababu ya kuomba michango ya mafuriko ya Hanang, Serikali isaidie wananchi kwa pesa zake

    Serikali hii haina tofauti na mkulima anayecheza ngoma kila baada ya mavuno, kukiwa na mgonjwa anaomba msaada. CCM walikuwa na kikao cha kifahari wakijidai ni semina ya mafunzo. Sasa hivi wako kimya bila hata mchango wowote. Mwananchi yeyote akijichanganya tu akatoa pesa yake, ameliwa. KUna...
  11. Patriot

    Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

    Huyo unayemsifu unajua alifanya nini alipokuwa waziri wa mambo ya ndani? Acha ushabiki. Ninachokiona nchi iko katikati ya ukabila. Kuna mjitu inashabikia kila mtu, hata muovu, bora awe kabila lake. Anaijua siasa wakati aliingia chama kimekomaa! Ngoja aingie aanze kukomoana tena na akina Nape...
  12. Patriot

    Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

    CCM wana tabia ya kurudisha walioshindikana wakati wa uchaguzi. Huyu atarudishwa.
  13. Patriot

    Govt: No Foreign Terrorists in Ukerewe

    Sakata hili liliishia wapi? Nasikia wanaendelea.
  14. Patriot

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    https://www.jamiiforums.com/threads/mshahara-wa-nehemia-mchechu-wa-nhc-ni-usd-19-000-kwa-mwezi.779737/page-32
  15. Patriot

    Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

    ...........haongozwi na chuki. NImemkumbuka Ndugai!
  16. Patriot

    Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel

    That is rubbish! Kwani TZ pekee ndo wataheshimika wakati Waaafrika wengine wanaumia? UNaona hii ni serikali ya kumshikisha adabu mwajili wa Saudia?
  17. Patriot

    Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel

    Kwa hiyo unaamini wanapokwenda kwa mikataba ya serikali, waarabu wanakuwa wastaarabu. Wanakuwa na utu. Ukienda bila serikali wanakuwa wanyama. Hawa ni wapuuzi tu! Bado wanaamini wanastahili kupata watumwa.
  18. Patriot

    Mh. Rais, itazame nchi kwa umoja wake. Ukabila na upendeleo unashika kasi ukiwepo

    Kila aliyesikiliza mjadala wa ripoti ya CAG na majawabu ya mawaziri, ameelewa wazi kwamba mawaziri wanahusika na wizi huo. Kama wasingehusika, ingekuwa ni taharuki maana hakuna anayetaka kuibiwa. Pamoja na kuhusika ktk wizi, yaonekana wapo ktk nafasi kwa urafiki binafsi na rais, na kuna...
  19. Patriot

    Video: Aliyewahi Kuwa RC wa Geita/Mwanza Amejiajiri kama Local Fundi na anachapa kazi site

    Mabwege hapa JF siku hizi mbona muko wengi? Yaani nawe unaona amejituma kupata hiyo kazi? Hujui kwamba amepewa upendeleo kuliko vijana unaowalaani?
Back
Top Bottom