Search results

  1. Dcxkobe

    Nimejitafuta kwenye kubeti mpaka nimechoka

    Tangu niingie kwenye kubet adi sasa sijapata faida yoyote Zaid ya hasara kila nikisomaga post xozote za kuhusu kuifaidi betting karbu wote wanasemaga usiweke timu nyigi odds 2 tu zinatosha Ayo yote nimefanya lakn n vipigo tu option zote kwenyr football nimezijarbu lakn hakuna tofaut nikahama...
  2. Dcxkobe

    Nyimbo ya Abby skills ft Mr blue

    Wakuu Leo nilikua najikumbusha kuangalia nyimbo za bongo fleva za zamani, hivi Ile nyimbo ya Abby skills ft Mr blue. Mimi wewe, yule demu alietumika mule kwenye video sio qeeen daaring kweli au nimefananisha?
  3. Dcxkobe

    Yamenikuta Kama ya kwenye movie

    Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwezi uliopita ndio nimerudi nimemkuta ameshaolewa na ana watoto wa 2 dah yamenikuta ya kwenye dhadkan ya sunnly shety
  4. Dcxkobe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wa kubeti wezangu nilikua na wazo hapa ujue kwenye kubeti Kuna michezo Zaidi ya 20 hv tukijikusanya watu ata 20 hv Yan kila mmoja na mchezo mmoja Yan football anajua mmoja na basketball anakua mmoja teness anakua mmoja hvo hvo tunafatisha alafu kila mmoja sasa analeta timu 2 za huo...
  5. Dcxkobe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wa kubet wezangu betin basketball kipindi Cha kwanza under 85 inatoa Sana ila unatakiwa ujue kuchanika kupo ila Kuna afadhali
  6. Dcxkobe

    Huyu Mwanamke anazingua kichizi

    Kuna binti mwaka 2018 nilimtongozaga akakubali tena akaonesha kunipenda ila tena nikaadha kumuona wanini. Yaani kujibu sms hadi nijisikie yaani nilimkinai ata Bado sijamvua nguo alikua anani hendo sana lakini Mimi sijali nikikutana naye hata jiani najifanya nina haraka ili nisiongee nae tu na...
  7. Dcxkobe

    Mnaikubuka hii movie?

    Mnaikubuka hii movie ya Ajay davigan inaitwa Vijay path aise Kuna song umo demu alikua anawaza baada ya mshikaji kumualika kunywa chai aise vya kale zahabu zile alaaa zinavyopigwa Yan madogo wa ckuiz wanazngua. Ule uhalisia wa bollywood hakuna Tena nachi inaimbwa Kama amapiano
  8. Dcxkobe

    Yamenikuta

    Yamenikuta Kama yaliyotokea kwenye hz movie. Dhadkan upande wa sunnly shet Tere ma'am. Darr.upande wa sharukhan. Dil karshta upande wa Arjun rampal n hvo tu
  9. Dcxkobe

    Uliwezaje kuacha punyeto? Wasaidie na wengine kuacha tabia hiyo chafu

    Ila Mimi nko vibaya sidhan Kama leo itaisha
  10. Dcxkobe

    Uliwezaje kuacha punyeto? Wasaidie na wengine kuacha tabia hiyo chafu

    Bado naendelea na mtihani wa kutoka kwenye hiki kifungo Cha kujichua kinatesa Sana kwa kweli nimejipa saikolijia moja kila likija wazo la kujichua najichekea mwenyewe moyon na kujiambia hv unakili kweli yanI unataka ufanye ujinga huo Basi wazo linatoka
  11. Dcxkobe

    Uliwezaje kuacha punyeto? Wasaidie na wengine kuacha tabia hiyo chafu

    Leo nimefikisha cku ya nne bila kupiga punyeto najitaidi Sana nitoke kwenye huu mchezo japo imenitesa kwa miaka mingi Sana Mara kadhaa huwa najarbu kuacha nashindwa nikijitaid wiki 2 narudi Tena. Mniombee ndugu zangu huu mchezo imeniharibu Sana na safar bado Sana hapa nlipo hz cku nne tu naona...
  12. Dcxkobe

    Punyeto imenimaliza

    Mkuu naweza pata ushaur wako nje na hapa. Maana Hali n mbaya Sana
  13. Dcxkobe

    Punyeto imenimaliza

    Habar ndugu zangu, Nimepiga punyeto kwa muda mrefu Sana nilianza 2009 Kama utani ilipofka2013 ndio nikaaza kuona madhara makubwa mwili ukadhoofu sana halafu nikawa mzito kuelewa yaani nakuwa kama zoba fulani mwili masaa yote umechoka ni nikawa napenda kulala tu. Mpaka sasa hivi hali ni...
  14. Dcxkobe

    Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

    Sorry nauliza mechi za UEFA kwenye king’amuzi cha Azam TV huwa wanaonesha Chanel namba ngapi?
  15. Dcxkobe

    Ngozi yangu huwa imekunjamana Sana

    Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70. Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
  16. Dcxkobe

    Nimenunua friji kwa mara ya kwanza

    Nimenunua friji sijui matumizi yavi namba vyake viko 1 adi 7 Sasa cjajua 1 ndio inakua na Kasi au 7
  17. Dcxkobe

    Chanel za movie

    Naomba msaada hv kwenye king,amuzi Cha Azam chenel za movie za kihindi zile zuri za. Mastar marufu Yan kiufupi movie za bollywood ninamba ngap au jina la chanel
  18. Dcxkobe

    Unahesabu vipi kupata namba ya siti kwenye basi?

    Hv siti za gari. Huwa wanahesabuje kuipata namba ulipoewa Mimi sio mzoefu sana wa safar kwa mfano tiketi yangu n siti 5 jinsi kuihesabu nakubuka nliwahi pewa siti nlipofika Mimi nkatafuta tu palipo andikwa Kama n 7 naitafuta Sana tu ilipo nakaa lakn nliambiwa sio hapo ndio nimeomba leo nipewe...
  19. Dcxkobe

    Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

    Hapana walikua marafiki na booby deol tangu utoton mwishoni Akshay alikufa kwa presha
Back
Top Bottom