Ikiwa una changamoto ya upungufu wa damu mwilini zingatia mambo yafuatayo.
1) Usitumie Kahawa, chai wakati wa kula chakula au kunywa dawa za kuongeza damu kwa sababu kahawa/chai huzuia ufyonzwaji (absorption) wa madini chuma kuingia ndani ya mwili.
2)...
Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa).
Moja ya vipimo vinavyosisitizwa ni cha makundi ya damu na Rhesus factor.
Kipimo hiki ni muhimu sana kwa sababu utofauti...
Wengi hufikiri na kudhania kwamba hii hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito.
ONDOA HOFU, hali hiyo Kitaalamu hujulikana kama “Vernix Caseosa” ambao ni utando mweupe unaomzunguka mtoto na wenye faida ya kulinda ngozi yake na kumkinga dhidi ya maambukizi. Ni hali ya kawaida na...
Je umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye ndevu nyingi? Bila shaka, jibu ni NDIYO.
Hilo ni tatizo la kiafya ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Hirsutism.
Leo tujifunze kuhusu sababu za tatizo hilo na jinsi ya kutibu.
Hirsutism ni hali ambapo wanawake wanakua na ukuaji wa nywele wenye...
Je unatokwa na shahawa kwenye uume wako wakati wa haja ndogo/baada ya haja kubwa?
Hali ya kutokwa na shahawa kwenye uume wako wakati wa haja ndogo (baada ya tendo la ngono) au muda mwingine baada ya haja kubwa hujulikana kwa kitaalamu kama semen leakage. Hali hii inaweza kusababishwa na...
Je umeshawahi kukutana na mtu mwenye hali hii hapa chini kwenye picha katika sehemu yake ya kwapa/sehemu za siri?
Hali hiyo hapo juu kwenye picha ni ugonjwa hujulikanao kwa kitaalamu kama Trichomycosis (trichobacteriosis).
Trichomycosis ni hali ambayo inahusisha ukuaji wa bakteria kwenye...
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini mtu mwenye kisukari kidonda chake hakiponi haraka?
JIBU: Kuna sababu kuu mbili za kisukari kuchelewesha kupona kwa vidonda:
KWANZA: Viwango vya juu vya sukari kwenye damu.
Viwango vya sukari kwenye damu vikiwa juu, vinaweza kuharibu mishipa ya damu na neva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.