Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

Ushauri wa bure Kwa wanajamvi humu;
Ukimpata mtu anayejushauri kwamba achana na kuamini mambo ya kichawi wewe muamini Mungu tu, HUYO MTU MTAFUTIE MBINU YOYOTE ILE UMKWEPE ASISOGELEE PESA YAKO AMA KUIJUA MIPANGO YAKO. NA SIO MBAYA UKAMKAUSHIA KABISA HATA SALAM.

MAGUFULI4LIFE.
 
Wenzetu nje siku hizi wanatoa degree za magic and superstitious Au wizard , najiuliza kozi hiz wanafundishwa Nini?
 
Habari wadau

Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi

Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu Anthropology, elimu ya Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo wa binadamu unavyofanya kazi na unavyodanganyika

Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na ilikuaje marekani wakaachana na misako hiyo pia, watajua ukweli kuhusu uchawi.

Kisha wakarudi kwenye youtube na kuangalia video za magic tricks zinavyofanya kazi. watajua waganga na wanaojifanya wachawi wanatumia mbinu gani kuhadaa watu.

Mfano kuna video nyingi za youtube za Sheikh Othman michael akishirikiana na Shehe Jafar kitwana ( mganga mstaafu) wakieleza kila kitu kuhusu uchawi na huku wakionesha na mifano ya jinsi waganga wa kienyeji na wachawi wanavyotapeli watu kwa kutumia Placebo effects na magic tricks. yaani ukizijua hizo hakuna mganga ataeweza kukudanganya hasa ukielewa mbinu zao na mazingaombwe yao.

Nashangaa sana kijana wa zama hizi kuamini ushirikina na kwenda kwa waganga wa kienyeji wakati elimu zinapatikana kwa urahisi sana.

Jamani kwenye internet tusiangalie tu kina mwijaku na diamond. tumieni internet kupata elimu na kuelewa jinsi ya kusolve changamoto zetu.

umemaliza kila kitu mkuu mi sijawahi amini ati kuna uchawi sjui majini ni kujitoa akiri tu, nna shoga angu huyo ni msomi kabisa amesoma hadi UK but anaamini uganga sjui madawa yaaan aaakhhh ka mwehu, kitu kidogo tu huyo kwa sangoma, sasa uk alienda kujifunza nini sasa
 
Nataka nichangie lakini basi tu naona kama hatutaelewana na mtoa mada. Basi ni hivyo tu.

MAGUFULI4LIFE.
Kuelewana kunataka kukubaliana kwamba mnatumia kanuni gani ili muelewane.

Watu wanaoamini uchawi wameweka pembeni mfumo wa kutumia kanuni za kimantiki kuelewana.

Uchawi maana yake ni mambo yasiyofuata kanuni za kimantiki, sasa bila kufuata kanuni za kimantiki za kuelewana, mtaelewana vipi?

Yani ni kama unaamua kuongea na mtu ambaye hafuati kanuni za lugha, sarufi, maana, anajisemea maneno ya kutunga kwa kupiga kelele tu, utaelewana naye vipi?

Wanasema uchawi upo ila hauwezi kuonekana, umejificha katika "dimension" ambazo haziwezi kuonekana wala kujulikana.

Ukiwabana wanathibitishaje hilo, hawana jibu.

Sasa watu kama hao utaweza kuelewana nao vipi ikiwa hamuwezi hata kuelewana kuhusu mtatumia kanuni gani za kuelewana?

Yani hapo ni kama mnacheza mchezo ambao hamjakubaliana sheria za huo mchezo zikoje, mtaelewana vipi nani kafunga goli wapi saa ngapi kama hamjakubaliana hata goli linafungwa vipi?

Mtakubaliana vipi hii ni point ya kweli na huu ni uongo tu kama mtu anaweza kusema chochote na kusema "huu ni ukweli, ila wewe huwezi kujua kwa sababu ukweli huu umejificha kwenye dimension ya tatu na haujulikani tu". (Obviously huyo mtu hata hajui dimension ya tatu ni nini).
 
umemaliza kila kitu mkuu mi sijawahi amini ati kuna uchawi sjui majini ni kujitoa akiri tu, nna shoga angu huyo ni msomi kabisa amesoma hadi UK but anaamini uganga sjui madawa yaaan aaakhhh ka mwehu, kitu kidogo tu huyo kwa sangoma, sasa uk alienda kujifunza nini sasa
Hayo mengine ni mambo ya kiutamaduni zaidi, kuna ujinga fulani ukifundishwa tangu mdogo sana, ukikulia katika jamii inayouamini, ukiwa unausikia kila sehemu, ujinga huo, hata ukisoma vipi ni vigumu sana kuuondoa.
 
Wapi kuna neno archeology ?

Tazama kwa umakini image na link niliyoweka.. halafu nioneshe wapi nimeongelea archeology.

Kijana Kuwa makini na attention to details maana unatia aibu

View attachment 2954554
We jamaa fala sana... Mm ndo mwanaabtheopolojia nakuambia. Unabisha sasa sijui nabishana na mtu wa aina gani huko aliko. Sion maana ya kujadili na Kima hapa. Unaambiwa niulize chochote kuhusu anthropolojia hapa huna! Unataka nn? UnafHam branch za Anthropolojia we kalio?
 
Hoja inapingwa kwa hoja. Ukiona mtu analeta matusi kwenye hoja ujue ni mpumbavu.

Uzi huu una comment page 16. Toka nimeuanzisha hakuna mtu hata mmoja aliyetukana mwenzake.

Umekuja wewe umeleta matusi kwa nia ya kuharibu uzi wangu ambao watu wanajifunza ukweli juu ya imani potofu
 
Huna la maana, huna unalolijua. Unaunga unga tu, huna mantiki. Mweupe kabisa na hakuna la kujifunza hapa labda waje watu wanaobalehe kusoma. Naona bias nyingi kwenye maneno yako!

Huwez kusoma na kuelewa hoja za mtu mwingine. Uneanzisha kupinga ujio wa archeology. Mm nimeweka neno archeology mana hii anthropology inasoma mwanadam as subject, wholy na kila mtu anajua kuwa studiyng past ni archeology.

Very short anthropology inasoma man kind... Inajumuisha kusoma aina mbalimbali za mwanadamu ikijumuisha biology, utamaduni na mifumo ya maisha yani social anthropology, lugha yani linguistic anthropology na HISTORIA yani archeology. Na Kuna study nyingi sana za uchawi zinazoakisi ukweli na ufabyaji kazi wa uchawi, kuna mwana anthropolojia wa kale kusoma hii alitwa Malinowski yeye alisoma katika zile jamii za kale 'aboriginal' zibaitwa Trobriand na akaibuka na nadharia yake ya anthropolojia inaitwa Functionalism.
 
tafuta vitabu usome kijana ukuze akili yako. waganga waache kukutapeli na imani za kizamani zilizotumika karne zilizopita zama za giza

1712336525879.png

This book introduces students to the anthropology of magic and witchcraft, terms widely used but with no widely accepted definitions. It takes a new approach to this area within the anthropology of religion, demonstrating that the bases for these beliefs and alleged practices are inherent in human cognition and psychology.

The book reviews the many meanings of "magic" and "witchcraft," and introduces the best anthropological meanings of the terms. The components of these beliefs are timeless and universal; this fact, and recent advances in the brain sciences, suggest that the principles of magic are derived from basic processes of human thinking, and the attributes of the witch derive from neurobiologically based fears and fantasies, while in reality witchcraft does not exist.
 
tafuta vitabu usome kijana ukuze akili yako. waganga waache kukutapeli na imani za kizamani zilizotumika karne zilizopita zama za giza

View attachment 2954781

This book introduces students to the anthropology of magic and witchcraft, terms widely used but with no widely accepted definitions. It takes a new approach to this area within the anthropology of religion, demonstrating that the bases for these beliefs and alleged practices are inherent in human cognition and psychology.

The book reviews the many meanings of "magic" and "witchcraft," and introduces the best anthropological meanings of the terms. The components of these beliefs are timeless and universal; this fact, and recent advances in the brain sciences, suggest that the principles of magic are derived from basic processes of human thinking, and the attributes of the witch derive from neurobiologically based fears and fantasies, while in reality witchcraft does not exist.
Narudia palepale mkuu.. wewe unagugo na kujibu hapo hapo. Mm Sion haja ya kuendelea kujadili na wewe. Kama hii inakataa uchawi haupo, unadhani ni theory gani imetumika kupruv hili? Ni political economy au human ecology?.

Components are universal but meaning can never be universally. Uchawi una dhana ya envy na jealousy.. na components zake zinajumuisha matumizi ya herbs, sayansi za unajimu na anatomy.

However, tukubali kwamba 'True' is matte of agreement. Kama hujakubali kuw kweli, haiwez kuwa kweli.
 
Sijakataa. Nimeuliza amejuaje ili tuhakiki huo ujuzi.

Kwa sababu hata mimi naweza kusema mimi ndiye Mungu na hilo ni jambo lisilojulikana tu, utakubali?

Hayo mawimbi ya simu yanapimwa, yanapimika, yanafuata kanuni za hesabu na fizikia zenye logical consistency, yanapitisha mawasiliano ya simu, tunaweza kuhakiki kwamba yapo.

Kuna sehemu ya ulimwengu ambayo mwanga wake haujatufikia, the unobservable universe, tunaweza kupiga mahesabu tukaelewa kwa nini ulimwengu huu hauonekani, kwa kutumia the speed of light, distance, mathematics etc.

Sasa naelewa kuwa kuna vitu vipo na havionekani, hili sijalibishia. Hilo si tatizo kwangu. I only need to know the electromagnetic spectrum and the limit of visible kight to know that. That is not tje issue.

Lakini pia, kuna vitu havionekani kwa sababu havipo.

Sasa, mtu anaposema hiki kipo lakini hakionekani, tutajuaje kuwa hiki kipo lakini hakionekani kweli na si kwamba hakionekani kwa sababu hakipo?

Ndipo hapo nilipotaka maelezo ili kufanya uhakiki.

Na hamjanipa maelezo hayo bado.

Nikisema vibwengo wapo lakini hawaonekani tu, ni tofauti na kusema radio waves zipo lakini hazionekani tu.

Vibwengo hawapimiki, hawaonekani, hawathibitishiki kuwapo.

Radio waves tunazipima, tunajua mahesabu yake, tunajua wavelengths zake, wengine watasema zinaonekana kwa kutumia kifaa cha radio.

Sasa huo ulimwengu usioonekana mnaousema ni upi? Mnajuaje kwamba upo kweli na si hadithi za vibwengo zisizothibitishika tu?
Wewe unataka kupima uwepo wa vitu vipya visivyoonekana kwa kutumia vifaa au technologies zilizopo na ambazo zaweza kuwa irrelevant kupima vitu hivyo. Kabla ya uvumbuzi wa sayari watu waliona kwamba hazipo kwa sababu hawakuwa na technologia za kuona sayari lakini zilikuwepo.

Facts za kiroho zina methodology tofauti ya kuzitambua huwezi kutumia microscope kuona mambo ya kiroho, huwezi hata kutumia microscopes kuona mawimbi ya redio sembuse mambo ya kiroho ambayo ni subtle sana.

It’s only by spirit you can know spiritual existence. Na weww unaye roho huyo ama uwezo huo ila unahitaji ku align yourself to that fact.

Kuna mambo mengi tu wewe huwezi kuyaelezea kwa mtu mwingine lakini unajua yapo. Always kuna communication gap na ndio kuna mambo watu flani wanaelewa na wengine hawaelewi. Hata hayo mawimbi ya redio na galaxies na scientific facts nyingi sana kuna watu kibao hawazijui wala kuamini uwepo wake hata wakiambiwa na kupewa maelezo mengi kiasi gani.

In the same way ukweli wa uwepo wa roho unahitaji open mind and personal effort to discover rather than your outright denial of these possibilities. Upo tayari kujifunza? Na umefanya efforts za kutosha kujifunza kabla ya denial of the truth?
 
Nikikwambia Mimi ni Mungu niliyeumba vyote ila wewe huwezi kujua hilo kwa sababu hiyo ni habari mpya na huwezi kuipima kwa uwezo wako wa kizamani, utakubali?
 
Human psychology ndio inafanya uone sijapata matatizo , nenda kasome kuhusu Human psychology utajua mengi kuhusu akili za binadamu na tunavyoamini vit
Human psychology ndio inafanya uone sijapata matatizo , nenda kasome kuhusu Human psychology utajua mengi kuhusu akili za binadamu na tunavyoamini vitu
share sources ya maarifa uliyonayo kama ni vitabu, courses watu wajifunze kutoka kwenye huo mtego
 
Nikiona mtu anajenga hoja alafu anarejea biblia au quran au torati kwa kigezo ni neno la Mungu/mungu najua tu bado yuko kwenye box lile lile.
Ni tatizo la kuwa na msingi usio imara au kujenga hoja kwa kuegemeo mwerekeo mmoja kwa sababu ya kuingiziwa data za aina moja ya kuwaza.
Ni matokeo ya kuingiziwa data za kuogofya na zisizohojika.
Ukitaka kuwa salama katika kufikiri kwanza jitoe nje ya vitabu hivi biblia, quran,torati, mila na desturi
 
Sijui kama uchawi upo au haupo.
Lakini siyo vizuri kumsaidia mtu kidogo kwa " uganga" au kwa mahubiri ya dini halafu kumdai sh.500,000.
 
Uchunguzi wa huko sijui Marekani unauleta na kuutolea majibu hapa bongo.
Mdogo wangu,ushaambiwa nenda rukwa huko kwa wavuvi wachana na mambo ya smartphone.
Nenda kwenye machimbo ya madini.
Nenda Pemba fungua kijiduka tuu.
Epuka sana kuiruhusu akili yako kuganda pale unapofuatilia jambo, ukishamaliza kwa watu anza kufuatilia kwako wachana na hao wachumia tumbo komaa field wewe kama wewe ukaone muziki.
Tuache uboya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom