Search results

  1. Mzalendo wa ukweli

    Filikunjombe na Lugora kunyimwa kuchangia bajeti ya Wizara ni demokrasia?

    Kwa mujibu wa vyombo vya habari na magazeti ya leo, ni kuwa wabunge wawili wa CCM Deo Filikunjombe na Kangi Lugora wamezuiliwa jana kuchangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi. My take ni kwamba iwe ni kwa sababu za msingi au zisizo na msingi sidhani kama ni...
  2. Mzalendo wa ukweli

    Hivi mapenzi bila uongo ni kweli hayawezi kunoga???

    Nimekuwa nasoma ktk vyanzao vingi vya habari na nikakuta watu wengi sana wanakubaliana na hii hoja kuwa katika mapenzi ni lazima uongo utumike ili mambo yaende vizuri.Kwangu binafsi imeshatonitokeani ni juzi juzi tu nimetoka kudanganywa na mtu ninayempenda sana japo anadhani mi sijui ukweli...
  3. Mzalendo wa ukweli

    Natamani kujua headlines za magazeti ya chama kesho zitakuaje

    Kufuatia ushindi wa kimbunga wa mbunge Godbless Lema leo hapa Dsm,ninatamani sana kujua kesho haya magazeti yetu ya chama yataandikaje heading kuhusu habari hii ambayo ni kama pigo kwa sera za chama.
  4. Mzalendo wa ukweli

    Anataka kuniacha kisa sipatikani hewani

    Wanajamvi jana usiku mida ya saa 4 nimempigia simu mpenzi wangu simu ikaita bila kupokelewa nadhani alikuwa ameshalala,nikaamua kumtumia sms ya kumtakia usiku mwema na nikamwambia simu yangu haitakuwa hewani kwa muda fulani kwa vile itakuwa ktk charge a.k.a charger ya kobe kwa vile charging...
  5. Mzalendo wa ukweli

    Itikadi ya CCM ni ipi kwa sasa?

    Ukitazama kwa umakini alama zilizopo katika bendera ya CCM utagundua kuna alama ya jembe na nyundo; jembe likiwakilisha wananchi wakulima na nyundo ikiwakilisha wafanyakazi. Hii ilikuwa na maana kuwa CCM kilikuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi wakati kinaanzishwa. Kilijikita katikk kutetea...
  6. Mzalendo wa ukweli

    If you are in love with two people

    If you love two people at the same ,you should choose to love the second because if you really loved the first one, you wouldn't have fallen for the second.-Johhny Depp. What is your view?????
  7. Mzalendo wa ukweli

    Je unafurahia mahusiano yetu?

    Hivi inapotokea mwenzi wako anakuuliza swali: JE UNAFURAHIA MAHUSIANO YETU? Unapata ujumbe gani wewe binafsi kabla hujamjibu swali lake? Nimekumbana mara nyingi na swali hili na natamani kujua what is behind this question.
  8. Mzalendo wa ukweli

    How sure are you kuwa uliye naye anakupenda???????

    Hivi una ukakika gani kuwa uliye naye anakupenda wewe mwanajamvi mwenzangu? Do you think hawezi kubadilika as time goes? What if akija kubadilika, what will you do?????
  9. Mzalendo wa ukweli

    I love you sweet baby no matter what!!!!!

    Mahusiano yana changamoto zake na kila siku mnakutana na changamoto za aina tofauti tofauti. Na ili uhusiano uweze kuimarika na kuwa strong ni lazima upitie ups and downs na during this time ni wakati mzuri wa kumsoma mwenzi wako na kumjua vizuri zaidi when things are not going the right way...
  10. Mzalendo wa ukweli

    Migogoro ktk mapenzi ina nafasi gani?

    Ndugu wanajamvi, kama heading isemavyo; hivi migogoro katika mapenzi ina nafasi gani? Je inaimarisha penzi baada ya kusolve au inapunguza kiasi cha upendo kati ya wapendanao? mchango wako please!!!!!
  11. Mzalendo wa ukweli

    Why ni ngumu sana kupata mtu unayempenda naye anakupenda same way?

    Swali langu linajieleza wanajamvi, Kwa nini ni nadra sana kubahatika kumpata mtu ambaye unampenda sana naye akawa anakupenda sana? sana sana unaweza ukapata mtu unampenda sana but akawa anampenda mtu mwingine zaidi kuliko wewe, au inatokea mtu anakupenda sana but wewe humpendi likewise. Why...
  12. Mzalendo wa ukweli

    Kikwete: Foleni jijini Dar itakuwa historia

    Ndugu wanajamvi jana mkuu wetu wa nchi alikuwa anazindua mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi. Na katika hotuba yake nilivutiwa na kauli kutoka kwa mkuu wetu wa nchi kuwa hali ya foleni ktk jiji la Dar baada ya huu mradi kukamilika itabaki kuwa historia. Je, kwa huo mradi...
  13. Mzalendo wa ukweli

    Super star ni mtu wa namna gani hasa

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi bila kupata majibu. Hivi unaposema fulani ni star au super star ktk eneo fulani kama ni film industry au ktk soccer...what does this means? Katika tasnia ya filamu hapa Bongoland...ukibahatika kuigiza movie moja au mbili na zikauza sokoni japo kidogo...
  14. Mzalendo wa ukweli

    Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta msichana wa Kitanzania mwenye umri wa kati ya miaka 23-29..mkristo...msomi...mzuri wa sura,umbo na tabia na awe tayari kupima VVU. Mwenye sifa hizo please ajitokeze
  15. Mzalendo wa ukweli

    Inasemekana kuwa dowans wameshalipwa tsh billion 90 plus interest accrued

    Hello members,hivi ni kweli kuwa hawa jamaa wa Dowans wameshalipwa ile pesa yao Tsh Billion 90 plus accrued interest? Mwenye uhakika please naomba kujua nikiwa kama mzalendo wa kweli wa nchi yangu. Nawasilisha
Back
Top Bottom