Why ni ngumu sana kupata mtu unayempenda naye anakupenda same way?

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
559
149
Swali langu linajieleza wanajamvi,
Kwa nini ni nadra sana kubahatika kumpata mtu ambaye unampenda sana naye akawa anakupenda sana? sana sana unaweza ukapata mtu unampenda sana but akawa anampenda mtu mwingine zaidi kuliko wewe, au inatokea mtu anakupenda sana but wewe humpendi likewise. Why inakuwaga hivi?
 
185106_290271891085905_265716605_n.jpg
 
Sikuhizi watu wanatafuta watu wa kufanya nao maisha na sio kigezo cha upendo.
Na wengine wanatafuta sababu ya tamaa zo,eti oh mnenene,mweupe,mwembamba,mrefu etc.nani amekwambia mke ni sura wewe kijana?????tunamtania mungu.
 
Mtu anayeweza kukupanda kwa dhati ni mama yako pekee na sio baba yako,na haitokei kabisa,to me nahs imenitokea kwa kiasi fulani nilimpenda sana ila alikuwa ni mmja wa kiongoz katika lile kundi nilikuwa mdogo na nisingeweza mwambia nikamaliza nilichokuwa nasomea nikaondoka ule mji kabisa the tukaja kutana mji mwingine and its his time to say that word i reserve for so long time .now we are together as a lovely couple
 
Swali langu linajieleza wanajamvi,
Kwa nini ni nadra sana kubahatika kumpata mtu ambaye unampenda sana naye akawa anakupenda sana? sana sana unaweza ukapata mtu unampenda sana but akawa anampenda mtu mwingine zaidi kuliko wewe, au inatokea mtu anakupenda sana but wewe humpendi likewise. Why inakuwaga hivi?

Mwenyewe sielewi.
 
Kwa sababu tuna anguka kwenye upendo kwa nyakati tofauti!

Na hakuna anayepanga kupenda bali tuna jikuta tumependa
 
yaan mtoa mada mi mwenyewe nimeshajiuliza sn hii kitu hata celewi,duh naowapenda wote washaoa,wananipenda cwapendi kabisa! I dont knw wht to do
 
Mnapo anza mahusiano wote mnakua mnapendana, ila kuna mgonjwa mmoja ataanza kumzingua mwenzake na ndipo hutoke upendo kupungua, kwasababu huwezi mfata mtu huku hujampenda na yeye hawezi kukubalia huku akiwa akupendi...
 

Ha ha ha smile umeua.. Bibi harusi anarusha ua to predict who is next to be married wadada wanaligombania
as kila mtu anataka kuolewa... Wakati bwana harusi anarusha lake ku predict who is next wakaka wanalikwepa as kila mtu hataki ndoa.. Kweli bachelors life is so sweet
 
Swali langu linajieleza wanajamvi,
Kwa nini ni nadra sana kubahatika kumpata mtu ambaye unampenda sana naye akawa anakupenda sana? sana sana unaweza ukapata mtu unampenda sana but akawa anampenda mtu mwingine zaidi kuliko wewe, au inatokea mtu anakupenda sana but wewe humpendi likewise. Why inakuwaga hivi?

Kwa sababu dunia ingekuwa too perfect kwa mwanadamu kuishi ndani yake! Kama kila mtu angempata mtu anayempenda sana na huyo mtu akawa naye anampenda huyo anayempenda, cheating zingetoka wapi? Jukwaa kama hili tungejadili nini? Fumanizi tungezionea wapi? kutenda na kutendwa tungekujulia wapi? Vikao vya usuluhishi wa ndoa vingejadaliwa wapi? Wapi usaliti? Kufake kungetoka wapi? Kero za mapenzi na mahusiano tungezijulia wapi?

Ukiendelea kujadili sidhani kama utapata jibu, maana huu moyo wa binadamu hauna maana hata kidogo, mara nyingi huangukia pale mtu asipopendwa kwa dhati.
Cha msingi ni kuomba Mungu akupe utakayeweza kumvumilia na yeye kukuvumilia, huku mkipendana kwa degree hiyo hiyo mtakayokutwa nayo na kutengeneza familia kwa namna hiyo.
 
Hili suala zaidi ni psychological. Watu tunapenda kupendwa, tena ikiwezekana tupendwe sana. Lakini shida kupendwa sana mara hugeuka kuwa kama kero vile, huchosha na kukinai. Mtu anaanza kujiskia kama mtumwa vile, kama yuko gerezani vile kwa sababu ya 'kukamatwa' na mtu. Kumbe kinachofuata mtu anaanza kujinasua, kutafuta uhuru kutoka gereza hilo.

Kwa kifupi watu hupenda mtu wa kufukuzia, yule anakupa shida kidogo, anayeonesha dalili - hata kama si za kweli - za kukuacha, yule anayeringa kidogo. Huyu hupendwa sana na kuvuta hisia za mpendwa wake. Na mara nyingi huyu mwenye maringo akishagundua wewe unamgwaya, naye hupenda kutafuta mwingine mwenye kumtesa moyoni mwake. Mi nadhani ndiyo maana ni ngumu sana kukuta watu wanaopendana sana sawia. Wapo lakini ni wachache
 
Sababu kubwa ni kuwa MOYO WA MTU NI KIZA KINENE, Ungekuwa wa KIOO tusingepta shida, kujua huyu ndie au sie!!! BAAAAAAAAAAASS!
 
Jamani yawezekana mkapendana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Reciprocity increases complexity twofold. Exactitude compounds this chance in a progression geometrically.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom