Search results

  1. M

    Jamani kama kuna mtu aliweza kufanya application kwenye AGPAHI

    Jamani kama kuna mtu aliweza kufanya application kwenye hizo nafasi zilizotokz hivi karibuni ambazo deadline yake ni tarehe 19/10/2016. Aniambie, maana mi nimejaribu ila nimeshindwa. Email haiendi. Au lilikuwa tanago feki ?
  2. M

    Mlio Kanda ya ziwa

    habari zenu jamani, habari za siku nyingi. Baada ya kupotea kwa muda mrefu kutokana na mambo flani flani sasa nimekuja tena. Najitokeza kutafuta marafiki wa kuchil nao na kubadilishana mawazo, hasa walio kanda ya ziwa yaan mikoa ya mwanza,shy au Musoma. Nahitaji kampani tu jamani maana huku...
  3. M

    Natafuta kiwanja Kahama

    Habari zenu wapendwa, Ninatafuta kiwanja Kahama, nahitaji heka moja nje kidogo ya mji maeneo kama ya Kahama sekondari au popote lakini pasiwe town kati. Pawe na access ya maji na umeme. Kwa alie na kiwanja, tuwasiliane kwa pm tafadhali.
  4. M

    Wapi father X-Mas na zawadi za x-mas!!

    hi jf members! heading hapo juu inajieleza, nakumbuka mwaka jana father x-mas kipindi kama hiki alikuwa anagawa sana zawadi za x- mas.......kwa mliopokea nadhan mnakumbuka!!! Nashangaa sasa hv yupo kimya tu, father x-mas tafadhali jitokeze watu tupo twasubiri hizo zawadi zako.....au umefulia...
  5. M

    Helloooo JF members fron Nzega

    habari wana Nzega! Natafuta kampani ya wana JF waliopo Nzega.....iwe wa kiume au wa kike haina shida. Nina miezi 6 tangu nimefika nzega ila niko bored ile mbaya. nahitaji kampani kwaajili ya kutembeleana,kubadilishana mawazo n.k,kwa alie tayari na yupo nzega mjini plz drop me a PM. Niko...
  6. M

    Nimefiwa na baba yangu mkubwa

    Hbr wana jf,nimepata msiba.Baba yangu mkubwa amefariki usiku wa kuamkia leo.Kwa wale wenyeji wa nzega mnaweza kuwa mnafahamu,alikuwa bwana afya ktk hospitali ya wilaya.
  7. M

    Kwa wenye makampuni au NGOs Nzega

    Hbr wadau,mimi ni mhitimu katika fani ya elimu ya jamii (sociology).Natafuta sehem ya kufanya part-time job,kwa walio na makampuni au NGOs nzega naomben msaada wenu.Kwa wenye nia tuwasiliane kwa no 0752199411.
  8. M

    Vigezo vya kusomea clinical officer.

    Naombeni msaada wadau,nina mtoto wangu amemaliza form 4 na kufaulu masomo ya sayansi ila anataka kusomea uafisa tabibu.Je kwa elim yake ya form 4 anastahili.
  9. M

    Jaman wapi Washawasha na nalog off

    Jaman wana jamvi,huyu washawasha yuko wapi na ile nalog off yake au amebadili user name,tafadhal mr/miss washawasha popote ulipo ebu jitokeze jamvin japo tujue km upo hai.
  10. M

    Hivi mkoje nyie wanaume

    Mnaniboa sana nyie wanaume mnaojidai kutafuta wachumba kwa kuweka sifa ambazo mtadhan hao wadada nyie ndo mnawaumba,eti mara nataka mchumba awe na hips kubwa,mara mweupe,sijui masaburi makubwa,mara sijui matiti yakoje,mara eti wa kunipoza moyo.Najiulza hv mnakuwa na nia ya kupata wachumba au...
  11. M

    Kwa waliosoma buluba sec-shinyanga

    Amani kwenu popote mlipo watoto wa Yegela,jaman tujuane basi,mm ni mmoja wa waliosoma pale nimeamua kuvunja ukimya kwa kuwatafuta.
  12. M

    msaada kuhusu ipad

    Jaman nataka kununua ipad,kwa wenye ujuzi naomben mnisaidie khs bei.
  13. M

    Vp zile nafasi za field reseachers

    Habari wandugu,jaman hv kuna mwenye feedback za field reseacher.kuna nafasi zilitangazwa kuwa wanahitajika field researcher 10.mwenye taarifa atujuze plz.
  14. M

    Keep it up Dr Kitima

    Namfagilia sana jamaa kwsbb haintertain mambo ya siasa na elimu ndo maana hadi leo SAUT pako shwari kwasbb kila kitu kinaamuliwa kitaalam na si kisiasa.Poleni sn ndugu zetu udsm,tuko pamoja sana.
  15. M

    Jaman walimu

    Wanashangaza sana,waliahidi kuwa na mgomo mara baada ya shule kufunguliwa lkn had sasa kimya,walimu achen kubip ndo mana serikal haishtuki manake ishawazoea,mkiamua kufanya kitu fanyeni kweli na kwa umoja.
  16. M

    Wapi kituli sec members

    Jaman mko wapi members wa kituli sekondari.Enzi za akina elisante,kombo salehe,Ester kapanda,sabas michael,moza rashid,deus Maganga,Nawamiss sana jaman.Wapi kadama malunde,anthony pius.Enzi za mwl misana mzee wa stick,jembe letu maganya.Aisee nawamis ile mbaya ila sijui ntawapataje.
  17. M

    Wadau vp khs kaz za nssf

    Jaman kwa anaejua kinachoendelea khs zile kazi atujuze maana ni mda mrefu sasa umepita.
  18. M

    Jamani nafasi za jeshi lini

    Mimi ni graduate wa sociology ila napenda sana jeshi,kwa anaejua intake zao zinakuwaje naomba anijuze wakuu.
  19. M

    Hellow

    Mimi ni mgen nimeamua kuingia jamvin ili niwe member kwasababu jf ndo mpango mzima,yan inaelimisha na kuburudisha,jaman naombeni mnipokee.
Back
Top Bottom