Kwa wenye makampuni au NGOs Nzega

Makunga

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
771
551
Hbr wadau,mimi ni mhitimu katika fani ya elimu ya jamii (sociology).Natafuta sehem ya kufanya part-time job,kwa walio na makampuni au NGOs nzega naomben msaada wenu.Kwa wenye nia tuwasiliane kwa no 0752199411.
 
Try to check with Dr. Kigwangwala ni mbunge wako huyo.
 
Back
Top Bottom