msaada kuhusu ipad

kama unataka kununua i pad nnakushauri ununue i pad2+3G ..ukinunua ambaya haian 3G itakuwa kama karatasi
 
Ukitembelea madukani utaona bei halisi around 1.4 for Ipad 1 16GB WiFi only, mimi ninazo IPad 1 mbili, ya 32GB na 64GB at 1,050,000/= na 1,150,000/= respectively. Zote ni WiFi + 3G na zinakuja na wireless keyboard bure ambayo dukani ni $100,,,,
:poa :poa, ni PM ukihitaji au nicheki kwenye 0716904626, negotiations included,,,,
 
.ipad zipo mbili tu ipad one ndo ya zamani kidogo.lkn kuna tab za adroid ambazo ni bei poa saana.mi nayo ipad 2 16 gb wifi na 3g nyeupe,used for miezi miwili.950,000. piga namba 0688191991
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom