Search results

  1. Bata batani

    Ni kwanini watu wanaotuona tuna roho mbaya wakipatwa shida au changamoto hukimbilia kwetu kuliko wale wanawaona wana nzuri

    Hiki kitu huwa najiulizaga sana kuna aina fllani ya watu Hao siku zote wao huwa kuna watu huwa wanawatizama kuwa ni watu wenye roho mbaya Yaani full kuwasema vibaya, full kuwachukia, full kuwaombea mabaya , full kukutendea mabaya Lakini inapotokea aina hii ya watu wanapitia wakati mgumu au...
  2. Bata batani

    Unawezaje kudeal na toxic person or people katika eneo lenu la kazi

    Toxic hawa tunasema ni aina fulani ya watu ambao wanakufanya ukose amani na furaha kazini kwako, Ni watu wako negative na wewe. Ni watu ambao wanaangalia makosa yako, ni watu ambao wanataka udhalilike, ni watu ambao muda wote hoja zao nyingi kuhusu wewe ni kufukuzwa kazi Je, watu kama hawa...
  3. Bata batani

    Siwezi kuendelea kufanya hii kazi, mwenye moyo wa kuifanya anicheki PM

    1. Hii kazi mshahara 250k ila take home 200k baada ya makato. 2. Muda wa kuingia kazini ni saa 10 usiku na kutoka saa 6 usiku na hakuna overtime 3. Muda wa mapumziko ni saa 7 mchana hadi 8 baada ya hapo mnarudi kiwandani kupiga mpaka saa 6 usiku ndo mnaruhusiwa kutoka. 4. Hakuna allowance...
  4. Bata batani

    Wazazi fundisheni watoto wa kike kutafuta pesa waondokane dhana ya kuolewa na mwanaume mwenye kipato na kazi nzuri

    Enyi wazazi na wana ndugu wenye watoto wa kike ambao mnataka mtoto wenu aje kuolewa na mwanaume mwenye kipato na kazi nzuli kuanzia leo acheni huo ubabazazi fundisheni watoto wenu kutafuta pesa na sio kumtengenezea mazingira asubili mwanaume mwenye mwenye kipato na kazi nzuliii aolewe nae ili...
  5. Bata batani

    Unapokuwa na kazi hakikisha unakuwa kampuni au biashara ya kukupa kipato mbali na mshahara

    Kwa wale vijana wenzangu mnaofanya kazi kwa dunia ya leo inavyokwenda unapokuwa na kazi hakikisha kwa pembeni una biashara yako au kampuni yako ya itayokuwa inakupa kipato. Mambo ya makazini hayaeleweki muda wowote unaweza kupigwa chini hivyo unapokuwa unapata mshahara na viposho posho...
  6. Bata batani

    Msaada kwa anayefahamu mambo haya ya EFD machine katika kitengo cha sales kwenye majukumu ya kazi

    Wakuu nimeitwa katika interview kitengo cha sales lakini sifahamu matumizi ya EFd machine katika kutimiza majukumu yafuatayo 1.ku print risiti 2. Ku print daily z report 3. Kutengeneza report ya z report 4. Mwisho kabisa matumizi ya Efd machine 5. Ku-report misuse of Efd machine Haya ni...
  7. Bata batani

    Utofauti wa majina ya vyeti vya kuzaliwa,Taaluma na Nida unaweza kukupelekea kukosa ajira na Hati zako za msingi

    Hili jambo watu wengi hulichukulia ni la kawaida ila limeumiza watu wengi sana wengine hubakia kutoa machozi Mwaka 2019 kuna jamaa yangu aliitwa kazini baada ya kufaulu usahili wa utumishi aende kuchukua barua ya kuanza kazi akiwa na vyeti vyake halisi akiwa na documents zake zote jamaa...
  8. Bata batani

    Kati ya "mziki" wa CPA na Law School upi unatisha zaidi?

    Kwa wale ambao mmeshawahi kupitia na kupiga za CPA ambao upo chini ya bodi ya wahasibu Tanzania. Na wale ambao mmeshawahi kupitia kupiga Pepa za law school of Tanzania. Hebu tuambiane ukweli ni mziki upi unatisha zaidi ambao kutoboa ni lazima unahitajika upige msuli sii kitoto. Sent from my...
  9. Bata batani

    Hivi Wahindi wana matatizo gani lakini? Kulipana Mishahara mpaka mshikane Mashati

    Hatimaye kwa mara ya kwanza nimelipwa mshahara tangu nimeanza kazi kwa huyu Mhindi. Lakini kulipana mishahara kwenyewe mpka mshikane mashati yaani mpka muanze kupelekeshana wee ndo mshahara unaingia hivi shida ni nini lakini kwa hawa jamaa. Kila kitu kwao ugomvi, kupeana mikataba ugomvi...
  10. Bata batani

    Mliofanya kazi kwa Wahindi, ni zipi sifa na tabia za Wahindi Weusi?

    Kuna kibarua nimepata kwa wahindi siku si nyingi ila kuna maneno huwa nayasikia kuhusu wahindi weusi na wahindi weupe. Kwa wale waliowahi kufanya kwa wahindi weusi anisaidie sifa zao.
  11. Bata batani

    Ukweli mchungu: Kumpa mwanamke kila anachokitaka ni utumwa

    Sio kila kitu anachokitaka au anachokuomba mwanamke ni lazima umpatie hata ķama kipo ndani ya uwezo wako sometimes mwambie sina. Lakini ikitokea kila anachokitaka mwanamke wako unampatia hata kama huna unajitahidi hata kukopa ili mradi kumpatia mwanamke wako my friend huo ni utumwa. Kuna...
  12. Bata batani

    Ni kwanini msemo wa tafuta pesa unachukiwa na vijana wengi nchini

    Huu ni msemo ambao umeibuka na kushika kasi zaidi mitandaoni ambao lengo kuu ni kuwafanya vijana wapambane kutafuta hela Lakini je kwanini huu msemo huu vijana wengi wanauchukia Sana
  13. Bata batani

    Wanaume wengi hufa mapema kwenye ndoa na mahusiano, tatizo huwa nini?

    Je tatizo huwa ni nini Kwanini wanaume wengi hufa mapema katika ndoa na mahusiano Shida inakuwa ni nini?
  14. Bata batani

    Ni suala la Muda daladala za Gongo la Mboto - Msasani zitakuja kuumiza watu

    Kiukweli hizi Gali zinakimbia hatari lakini pia nimegundua abiria na madereva wa hii njia wanapenda Sana ligi za kushindana barabarani. Hatari Hizi daladala kama una moyo mdogo huwezi kuzipanda jinsi wanavxopiga rafu barabarani tunaomba hizi daladala zizibitiwe lasivyo ipo siku zitakuja umiza...
  15. Bata batani

    Ni kwanini idadi inaongezeka ya wanaume kukimbia ndoa zao na kuwachia wanawake mali zote kisha kuanza upya

    Huu mjadala ambao nimeusikia redioni Nikiwa ndani ya daladala ambapo Kuna utafiti ulikuwa unajadiliwa ambapo unanyeesha wanaume wengi waliooa kuanzia miaka ya 2014 hadi 2022 Asilimia 80 wamekimbia ndoa zao na kwenda kuanza upya hivyo kumwachia mwanamke Mali zote ..... Je, tatizo ni nini mpka...
  16. Bata batani

    Vijana wanaotaka kuoa huku bado tegemezi nini wanachokimbilia

    Hawa vijana wa Sasa hivi sijui shida huwa nini lakini unakutana vijana anakwambia anataka kuoa lakini still Hana kazi yeyote inayompa kipato , bado yupo nyumbani anategemea wazazi ivi ni wapi wanapokimbilia kwanini wasijipange kimaisha then mambo yakikaa vizuli ndo wafanye maamuzi ya kuoa ...
  17. Bata batani

    Ukweli mchungu: Migogoro na majuto ya ndoa huanzia pale mwanaume anapoyumba kiuchumi au kufilisika

    Yaani asikudanganye mtu mwanaume unapoanza kuyumba kiuchumi migogoro ya ndoa ndipo inapoanzia hapa Hapa ndipo tabia halisi ya mkeo ambae kipindi akiwa girlfriend wako ulikuwa unamuona mtu sahihi a.k.a wife material hapo ndipo huanza kuonyesha makucha yake Hapa ndipo utapata Majibu ya mkeo...
  18. Bata batani

    Ukichunguza kwa umakini ndoa ni Shimo la mateso matupu

    Najua wengi wataonibishia lakini tukatae tukubali ndoa ndio chanzo kikuu cha matatizo ya binadamu, matatizo kama vile magojwa ya moyo, stress, afya ya akili, kisukali n.k, mengi yamewapata binadamu wengi baada ya kuingia kwenye ndoa. Hebu fikiria watu mpoo ndani ya ndoa lakini; 1. Ugomvi...
  19. Bata batani

    Wana JF mliofanikiwa kupiga hatua kimaisha 2022/2021 hebu mbinu kidogo mlizotumia kupiga hatua

    Inawezekana wewe ni mwana JF ambae 2022 Kuna mbinu au mipango uliiitumia ikakupelekea kupiga hatua kubwa ktk maisha. Hivyo tupeni mbinu na mipango mliotumia kufanikisha mipango yenu hadi mnapiga hatua kimaisha. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  20. Bata batani

    Wanawake wanaojitokeza misibani kudai walizaa na marehemu siku zote walikuwa wapi

    Yaani mpka inafika hatua marehemu amefariki ndo unamuona mwanadada anajitokeza msibani akidai amezaa na marehemu wengine wanakuja na watoto msibani kutaka nao watoto kutambulika Hivi siku zote Hawa wanawake wanakuwa wapi na nyinyi wanawake tabia za kuwaficha watoto baba zao mpka umauti unapata...
Back
Top Bottom