Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,197
- 3,571
Toxic hawa tunasema ni aina fulani ya watu ambao wanakufanya ukose amani na furaha kazini kwako,
Ni watu wako negative na wewe. Ni watu ambao wanaangalia makosa yako, ni watu ambao wanataka udhalilike, ni watu ambao muda wote hoja zao nyingi kuhusu wewe ni kufukuzwa kazi
Je, watu kama hawa unawezaje kudeal nao