Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,198
- 3,572
Kiukweli hizi Gali zinakimbia hatari lakini pia nimegundua abiria na madereva wa hii njia wanapenda Sana ligi za kushindana barabarani.
Hatari
Hizi daladala kama una moyo mdogo huwezi kuzipanda jinsi wanavxopiga rafu barabarani tunaomba hizi daladala zizibitiwe lasivyo ipo siku zitakuja umiza watu ni swala la muda.