Ukweli mchungu: Migogoro na majuto ya ndoa huanzia pale mwanaume anapoyumba kiuchumi au kufilisika

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,198
3,572
Yaani asikudanganye mtu mwanaume unapoanza kuyumba kiuchumi migogoro ya ndoa ndipo inapoanzia hapa

Hapa ndipo tabia halisi ya mkeo ambae kipindi akiwa girlfriend wako ulikuwa unamuona mtu sahihi a.k.a wife material hapo ndipo huanza kuonyesha makucha yake

Hapa ndipo utapata Majibu ya mkeo kipindi cha uchumba ni kitu gani kilimvutia awe na wewe ,

Kama Una na kuongezea ongezea neno
 
Suluhisho ni kuwa mkweli na kipato chako na kumshirikisha mkeo kwenye mipango ya maendeleo ya familia yenu. Siku mambo yameenda kombo anakuwa bega kwa bega na wewe na kama ana kazi basi atakusuport hata uinuke tena.
Lakini sio unakuwa na kazi na uzima unakudanganya, wewe ni michepuko mpaka anaijua....hela zako unatumia unavyojua wewe.....haki omba Mungu usifulie maana ukifulia tu maji utaita mma. Tena bora ufulie uwe mzima, thubutu ufulie halafu labda uumwe ugonjwa wa muda mrefu, utauguzwa kwa masimango ajabu
 
Yaani asikudanganye mtu mwanaume unapoanza kuyumba kiuchumi migogoro ya ndoa ndipo inapoanzia hapa

Hapa ndipo tabia halisi ya mkeo ambae kipindi akiwa girlfriend wako ulikuwa unamuona mtu sahihi a.k.a wife material hapo ndipo huanza kuonyesha makucha yake

Hapa ndipo utapata Majibu ya mkeo kipindi cha uchumba ni kitu gani kilimvutia awe na wewe ,

Kama Una na kuongezea ongezea neno
Hata utamu utanyimwa
 
Njia nzuri Ni kutokuweka wazi figure halisi ya kipato na assets zako. Muonyeshe asilimia 50 tu. Siku hiyo 50% ikipotea na akaanza kufanya dharau, unamruhusu aendelee na maisha yake, wewe unajipanga upya na ile 50% iliyobaki
Tatizo ukifa kabla hujayumba hiyo 50% nayo inapotea
 
Ndoa zenye migogoro alafu Kuna helaa juaa mwanaume ndo shidaa...!! hawa viumbe kwenye helaaa hawasemi neno
 
Yaani asikudanganye mtu mwanaume unapoanza kuyumba kiuchumi migogoro ya ndoa ndipo inapoanzia hapa

Hapa ndipo tabia halisi ya mkeo ambae kipindi akiwa girlfriend wako ulikuwa unamuona mtu sahihi a.k.a wife material hapo ndipo huanza kuonyesha makucha yake

Hapa ndipo utapata Majibu ya mkeo kipindi cha uchumba ni kitu gani kilimvutia awe na wewe ,

Kama Una na kuongezea ongezea neno

Hii maada ni pana sana

Ila kama ulimpata mke kwa kumnunua au kumshawishi kwa Mali au pesa ujue tuu hakukufuata wewe alifuata pesa☺
 
Mama, wanawake huwa wanabadilika sana. Refer case ya Nabii Ayoub na mkewe. Yani mke alipoona husband kapukutika kila kitu, halafu ni mgonjwa hatari uliona ule ushauri alioutoa?.
 
Back
Top Bottom