Ni kwanini msemo wa tafuta pesa unachukiwa na vijana wengi nchini

Wanaosema hivyo wengi wao ni matambio kutambishia wengine ela sio zao wengine awajatafuta kwa jasho lao afu anakutambia eti tafuta ela mtu anaetafuta ela kweli kwa jasho lake atambishii
 
Sasa natongoza dem afu ananiambia yey syo size yangu niendelee kutafuta pesa,kwanin nisichukie
 
Kwani walipoteza lini na wapi hizo pesa?

Watafute kiasi gani cha pesa ilihali pesa haijawahi kutosheleza mahitaji kamwe?
 
Back
Top Bottom