Wazazi fundisheni watoto wa kike kutafuta pesa waondokane dhana ya kuolewa na mwanaume mwenye kipato na kazi nzuri

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,197
3,571
Enyi wazazi na wana ndugu wenye watoto wa kike ambao mnataka mtoto wenu aje kuolewa na mwanaume mwenye kipato na kazi nzuli kuanzia leo acheni huo ubabazazi fundisheni watoto wenu kutafuta pesa na sio kumtengenezea mazingira asubili mwanaume mwenye mwenye kipato na kazi nzuliii aolewe nae ili awe na maisha mazuri.

Nasema hivi acheni ubabazi uvivu wazazi fanyeni kazi waambieni watoto wenu wafanye kazi wafundisheni kupiga kazi watafute vipato vyao waache kutegemea kutoka kimaisha kupitia wanaume wenye kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom