Search results

  1. Living Pablo

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu samahani kila nikitaka kusign in nikiandika email naambiwa *this email was already taken" shida itakuwa nn maana nmetengeneza email nyingine lakin bqdo inasema ivyoivyo
  2. Living Pablo

    FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    Wanasimba vp mnaonaje mpate ata mechi ya kirafiki na Yanga(WANANCHI) ili furaha yenu izidi[emoji16]
  3. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mpira mchezo wa ajab sana ingekuwa kibongobongo kipa wa tim pinzan kafanya ivyo ungesikia bahasha imetembea
  4. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mzee hukuona alivyokuwa anaua moves golini kwao
  5. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    😅😅Mzee muhun sana uyu alaf anatumia Inhaler
  6. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Namimi niliombea iwe ivi ili tuwashindilie nyingi
  7. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    we huogopi
  8. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Npo naangalia game asee yule jamaa wa umu anaempingaga Bellingham itakuwa labda dem/mke wake anampenda sana Bellingham so anachuki binafsi
  9. Living Pablo

    Kibongobongo kumiliki milioni 100 kabla ya miaka 30

    Nondo muhim sana Intelligent businessman wakati unaelekea kupata mtoto zingatia haya kaka
  10. Living Pablo

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nafikiri kama ndo mtoto wa kwanza mtu lazima uwe na shauku
  11. Living Pablo

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Chupi imekaa upande tayari[emoji471][emoji169]🟨
  12. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kwa upande mwingine wa kumwaga majalo ni noma na ndo uzuri wake ulipo sio kwenye kukaba tu
  13. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Valvede niliona anazunguka sana kati na upande wa kulia juu kule ila Belli alikuwa hadi anakuja beki uku mara yupo juu mara upande wa Vin kila mahali
  14. Living Pablo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Sawa lakin De bruyne alisumbua sana kati kiasi kwamba kuzuia iyo mipira kwake na kiungo wengine wa Madrid. Toni umri umemtupa taulo.
Back
Top Bottom