FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

Hadi sasa Ahmed Ally anaamini kimahesabu Kolo atakuwa bingwa
Screenshot_20240430_185800_Gallery (1).jpg
 
Viva Simba Sports Club....!

Hayo Ndio Matokea ya Soka...!

Sisi tunaolifahamu Kabumbu.. Kwanza tunawapongeza Wachezaji.

Pamoja na Kuwa Matokea ni sare Lkn display ya Bolu was fine plus Fantastic goals, Zile goli za Namungo ni za Papatu Papatu.!

Mkononi kama sijakosea Kuna Mechi hazipungui 8...!
Wachezaji wakikaza CL & AFL kama Kawa.

Do not give up..! Hakuna kukata tamaa...this is Simba.Viva Simba
 
Tuna viporo Viwili,
Point 47. Nafasi ya Tatu.

Azam ana point 54, Nafasi ya pili
Tukishinda hivyo viwili Tunakuwa na Points 53.
Sasa sisi tunabaki kuwaombea Azam dua wapoteze mchezo ili tuweze kucheza CAF CL
TFF ya Karia itafanya kila namna kuhakikisha Simba inakuwa ya Pili ili icheze CAF CL. Tff itafanya namna kuikwamisha Azam na kuwapa maelekezo marefa kuhakikisha Simba inashinda mechi zilizosalia.

Nimekaa palee.
 
Aisee
 
Tuna viporo Viwili,
Point 47. Nafasi ya Tatu.

Azam ana point 54, Nafasi ya pili
Tukishinda hivyo viwili Tunakuwa na Points 53.
Sasa sisi tunabaki kuwaombea Azam dua wapoteze mchezo ili tuweze kucheza CAF CL

Nshakuambia umekaa kisiasa siasa, muongo muongo sana wewe....🤣🤣🤣🤣
Badala mjipange na pira la maana ambalo kiuhalisia hata halipo, nyie mnasema kuwaombea dua azam wapoteze🤣🤣🤣🤣
 
Viva Simba Sports Club....!

Hayo Ndio Matokea ya Soka...!

Sisi tunaolifahamu Kabumbu.. Kwanza tunawapongeza Wachezaji.

Pamoja na Kuwa Matokea ni sare Lkn display ya Bolu was fine plus Fantastic goals, Zile goli za Namungo ni za Papatu Papatu.!

Mkononi kama sijakosea Kuna Mechi hazipungui 8...!
Wachezaji wakikaza CL & AFL kama Kawa.

Do not give up..! Hakuna kukata tamaa...this is Simba.Viva Simba
We fight for 2nd position
 
Back
Top Bottom