Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

emoji28.png
Toni nimemuona wakati anafanyiwa sub tu, alifichwa sana leo.Toni

Guadiola vs anceloti😃
View attachment 2966885
Kipara leo kakutana na Master
 
Toni nimemuona wakati anafanyiwa sub tu, alifichwa sana leo.
Mashabiki mandazi ndo hawa sasa. Tangu lini kiungo anacheza defensive umuone ana gaa gaa na mupira. Hivi huyu ni madrid mwenzetu au n wazee wa livescore.
Grow and learn football tactics au tukupeleke uzi wa akina arsenal dogo.

Jana kroos kacheza defensive sana na akina camavinga sijui kama unaangalia mpira kwa jicho la tatu.

Kwa msaada tuu rudi uangalie mechi ya kwanza ya YANGA VS MAMELODI kwa mkapa angalia majukumu ya JONAS MKUDE ndo ujue maana ya DEFENSIVE TACTIC ni nini.
Kama sio MKUDE game ile ya kwanza yanga angekula chuma nyingi.
Take a note then learn.
 
1 day before don CALRO alisema anakwenda kumaliza game kwa technique aliyoitumia mwaka 2014 kama alivyomtumia SAMI KEDHIRA.
Hopefully VALVERDE ambaye jana kapewa man of the match na BELLIGHAM walibeba hilo jukumu.
Mmtake radhi bellingham wazee ile game jama cityzens walikuwa OFFENSIVE sisi tulikuwa DEFENSIVE
 
Bellingham ndo alipaswa kutolewa kabla ya Rodrygo sijui kwanini coach hamtoi

huyo jamaa ni bure kabisa, toka dakika ya 55 alishajaa upepo na bado akamaliza 120. Na Vyombo vya habari vya kiingereza ndio leo vinatambia na picha zake eti Baloon D'or favorite PUMBAV kabisa
 
Mashabiki mandazi ndo hawa sasa. Tangu lini kiungo anacheza defensive umuone ana gaa gaa na mupira. Hivi huyu ni madrid mwenzetu au n wazee wa livescore.
Grow and learn football tactics au tukupeleke uzi wa akina arsenal dogo.

Jana kroos kacheza defensive sana na akina camavinga sijui kama unaangalia mpira kwa jicho la tatu.

Kwa msaada tuu rudi uangalie mechi ya kwanza ya YANGA VS MAMELODI kwa mkapa angalia majukumu ya JONAS MKUDE ndo ujue maana ya DEFENSIVE TACTIC ni nini.
Kama sio MKUDE game ile ya kwanza yanga angekula chuma nyingi.
Take a note then learn.
Sawa lakin De bruyne alisumbua sana kati kiasi kwamba kuzuia iyo mipira kwake na kiungo wengine wa Madrid.

Toni umri umemtupa taulo.
 
Pia upande wa Carvajal ameshachoka tukimpata Trent Alexander itakuwa vizuri alaf mbele pale aongezeke mbappe na kiuongo mnyumbulifu kam Modric tutakuwa tumewin, Safu ya ushambuliaji vijana hawa Rodrygo,Mbappe nawaamin sana uyu Vini anamakuzi sana sometimes

Mkuu achautani, Trent ni mua, tena ni uchochoro kabisa. HUyo Hafai.
 
Back
Top Bottom