Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Una personal issue na Jude?

Nothing Personal, Ila Jamaa ni kilaza, na British Media inatumia nguvu nyingi kuaminisha jamaa ni Best Player wa timu kitu ambacho ni kituko, mbaya zaidi kuna wanojiita mashabiki wa Madrid wemeingia kwenye huo mtego
 
Valvede niliona anazunguka sana kati na upande wa kulia juu kule ila Belli alikuwa hadi anakuja beki uku mara yupo juu mara upande wa Vin kila mahali

Bellingam hakuwa akizinguka bali alikua ana jaribu ku cover cover maeneo, na hata ilo lilimshinda, mana alimpa sana space Rodri kusogeza timu
 
Carlo Mechi aliichelewesha Kwa kumuacha JUDE akizunguka uwanjani bila ya shuhuli yamana alokuwa anafanya, yeye na Vini walitakiwa kuwahi kutolewa mapema sana na hakukua na haja kumtoa rodrygo mapema. Ilisababisha timu izidi kuelemewa.
 
1 day before don CALRO alisema anakwenda kumaliza game kwa technique aliyoitumia mwaka 2014 kama alivyomtumia SAMI KEDHIRA.
Hopefully VALVERDE ambaye jana kapewa man of the match na BELLIGHAM walibeba hilo jukumu.
Mmtake radhi bellingham wazee ile game jama cityzens walikuwa OFFENSIVE sisi tulikuwa DEFENSIVE
Jude Bellingham jana alikimbia kilomita 15 dhidi ya Manchester City pale Etihad,

Pia alipiga chenga 100% zilizokamilika na usahihi wa pasi 94%, yaani alipiga pasi 31 zilizokamilika, alipokonya mipira mara 10 alishinda mipira ya juu mara 3.

Kiwango chake cha kazi uwanjani ni cha ajabu.

Alijitahidi.
 
Carlo Mechi aliichelewesha Kwa kumuacha JUDE akizunguka uwanjani bila ya shuhuli yamana alokuwa anafanya, yeye na Vini walitakiwa kuwahi kutolewa mapema sana na hakukua na haja kumtoa rodrygo mapema. Ilisababisha timu izidi kuelemewa.
yeah kiuhalisia city wanamuogopa rodryo zaidi ya vinny

Vinny ni worldclass lakin ni immature kid anapocheza na strong team ... well kwa upande wa pili rodryo has a monster mentality linapokuja swala la kufunga ( CR7 ) character in his blood
 
huyo jamaa ni bure kabisa, toka dakika ya 55 alishajaa upepo na bado akamaliza 120. Na Vyombo vya habari vya kiingereza ndio leo vinatambia na picha zake eti Baloon D'or favorite PUMBAV kabisa
asa we ulitaka Belligam atoke wakati timu jana ilikua more definsive kuliko Attack hujamuona jana wakati anasaidia
kukaba city kweny kiungo wa Chini kuna mda walikua wanacheza Rodri na Akanji Rodri akipanda Akanji anaenda kuziba Nafasi na Bado dogo alipigana sana kukaba na kuna mda alikua anakuja kumsaidia Mendy upande wa kushoto kukaba pia unasahu kama kweny Goli la Rodyrgo kahusika ku link shambulizi kwa kazi waliofanya Vijana jana afu kuna mpuzi kama wew unakuja unakosoa wachezaji huoni umuhimu wa alichofanya kijana bila shaka una matatizo kichwani
 
eti kahusika kwenye goli, sasa ndio nini
 
Carlo Mechi aliichelewesha Kwa kumuacha JUDE akizunguka uwanjani bila ya shuhuli yamana alokuwa anafanya, yeye na Vini walitakiwa kuwahi kutolewa mapema sana na hakukua na haja kumtoa rodrygo mapema. Ilisababisha timu izidi kuelemewa.
Mshamba we we na Carlo Nani anajua mpira zaidi ukipewa ata timu ya Chekechea ufundishe utaweza unakaujuaji mwingi sana we kajamaa

Sjui uyo Belligam unayemchukia alimlala dada ako had unakua na Chuki naye kiasi hicho
 
Jude Bellingham jana alikimbia kilomita 15 dhidi ya Manchester City pale Etihad,

Pia alipiga chenga 100% zilizokamilika na usahihi wa pasi 94%, yaani alipiga pasi 31 zilizokamilika, alipokonya mipira mara 10 alishinda mipira ya juu mara 3.

Kiwango chake cha kazi uwanjani ni cha ajabu.

Alijitahidi.
Nawashangaa watu sijui wanaangaliaje mpira... Jana Jude kapiga sana kazi
 
Back
Top Bottom