FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Yani Fei mishuti anaiyo ipigaga kapigi kishoot cha kitoto sijui anawaonea huruma,angefumua kama la Kigoma,tungeenda HT na moja.

NB; Tupo Azam kwa mkopo.
 
Azam Huwa siwaelewii,ivi wanakuaga na malengoo makubwa kweli? Mbona wachezaji hawana uchu wa ushindii...hawajui faida ya kua CL.Basi Mtani Bora tu aende yeye Azam hata makundi hawatafikaa wabaki nyumbanii.
 
Battle ya wauza juisi
Screenshot_2024-05-09-19-14-22-39_6012fa4d4ddec268fc5c7112cbb265e7.jpg
 
Arajiga ni agent Wa Uto, na amesaidia Sana kutengeneza hili gap....!

Kila Mechi Lzm atoe Penati za Mchongo dhidi ya Simba
Pumbavu na litimu lenu libovu.... Kwahiyo akili zako zinakwambia hata angekuwa Karia asingetoa penalty?. Vipi yule refa aliyewasaidia vs Tabora?.
 
Mechi ikiisha hakikisha unapanda gari yako private kurudi nyumbani. Tununue magari jamani. Utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom