Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

20240509_002449.jpg
 
Waambieni kwamba hawapaswi kuamini kuwa wameshinda mpaka wahakikishe refa amepiga filimbi na wachezaji wote wa Real Madrid pamoja na mashabiki wawe wametoka uwanjani.

HalaMadrid!
Kweli refa alipiga filimbi, filimbi ya mbeleko
 
Achana na mizumbukuku iliyohemukwa na mahaba niue hadi haielewi kuwa Real Madrid kapita kwa mbeleko.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.

Nenda kakojoe ukalale. Huko kwenye mitandao sports channels zote zinajadili kuhusu game ya usiku huu na hakuna anaelalamikia ushindi wa Real. Wewe uko huko Vikindu ndio unajifanya Pundit
 
Bado siamini tumeingiaje final
Hesabu za don carlo ziljibu kama uliona vizur kipind cha pili Vin alishuka pembeni na akawa anatengeneza nafasi nyingi zikawa zinakosa mtu wa kuzitumia alitengeneza nafasi kama nne ivi mipira ikawa inapita tu had kuna mda alikua ana amua a drive akafunge mwenye

Joselu alingia kumalizia nafasi zilzokua zinatengenezwa zinakosa mtu wa kumalizia na Ndio shida ya madrid ilikua apo na camavinga na Luca modric walingia kupush mashumbulizi katika ya kiwanja Brahim diaz sub yake ilikua ni kuongeza pressure eneo la kushoto la Bayern asa kupunguza kasi ya Davies maana alikua anapanda kwahyo kitendo cha Brahim kuwa anashambulia sana kilimfanya Davies aze kurudi kusaidia kukaba kiufupi Sabu za Carlo zilikua tecnical sana
 
Back
Top Bottom