Search results

  1. Debby the FEMINIST

    SoC03 Siasa inapoharibu mijadala ya kitaifa

    SIASA INAPOHARIBU MIJADALA YA KITAIFA Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mpana sana kuhusiana na Bandari, Mjadala huu umeibuka baada ya kupatikana kwa taarifa kuwa Serikali ya Tanzania kupitia Waziri Prof. Makame Mbarawa kuingia makubaliano/mkataba wa awali wa ushirikiano kwenye nyanja...
  2. Debby the FEMINIST

    Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile. Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
  3. Debby the FEMINIST

    Lindi: Wajawazito wajifungulia kwa tochi umeme ukikatika kituo cha afya rutamba

    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya wanawake Duniani, wanawake wa kata ya Rutamba halmashauri ya manispaa ya Lindi wamelia na changamoto ya uchakavu wa miundombinu katika kituo cha afya cha Rutamba. Wamelalamikia hayo baada ya wafanyakazi wanawake kutoka Mashujaa FM kufika kituoni hapo...
  4. Debby the FEMINIST

    Lindi: Afisa kilimo kata ala fedha za mahindi ya ruzuku milioni tano

    Afisa Kilimo kutoka kata ya Milola halmashauri ya manispaa ya Lindi ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kula fedha kiasi cha shilingi Milioni 5 za mahindi ya ruzuku kwa wananchi wa kijiji cha Milola B. Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga amekiri juu ya kutiwa mbaroni kwa afisa kilimo huyo akisema...
  5. Debby the FEMINIST

    Nachingwea: Viongozi wa Serikali na Wachimbaji washirikiana kutorosha pesa za mgodi

    Zaidi ya shilingi milioni 901 zimekusanywa na serikali kuu kupitia mrabaha na ada ya ukaguzi katika mgodi wa madini ya shaba uliopo katika kijiji cha Nditi wilayani Nachingwea. Hayo yamesemwa na afisa madini mkazi Iddy Msikozi alipokuwa akisoma taarifa ya makusanyo tangu Septemba 28, 2022 hadi...
  6. Debby the FEMINIST

    Liwale: Kijana anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mke wa mtu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Saidi Haji Ngamila (30) mkazi wa Kijiji cha Barikiwa Wilaya ya Liwale kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha kali na kutengenganisha kichwa na kiwiliwili na kisha kuchimba shimo na kumfukia Mwajuma Ally Lipala (49) Mkazi wa Kijiji cha...
  7. Debby the FEMINIST

    Lindi: Watumia mafuta ya Mil 7 kwa siku 4 na kununua pikipiki 2 kwa mil 11

    Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Hashim Komba ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU wilayani humo kufanya uchunguzi wa matumizi mabaya ya fedha kiasi cha shilingi milioni 18 zilizotumika kwenye mradi wa Usafi na Mazingira (WASH) wilayani humo ambapo ni Ununuzi wa...
  8. Debby the FEMINIST

    Radi yaua mmoja mkoani Mtwara

    Mkazi wa kijiji cha Mpalu kata ya Nakahako Wilayani Newala Mkoani Mtwara Zuhura Swalehe Uheche Miaka( 35) Amefariki dunia baada ya kupingwa na Radi february 07 2021 wakiwa kwenye banda la biashara Akielezea tukio hilo Diwani wa kata ya Nakahako Rashidi Lugomba amesema tukio hilo limetokea...
  9. Debby the FEMINIST

    LINDI: Wanafunzi 30,235 wanatarajiwa kuanza elimu ya msingi

    Takribani wanafunzi 30,235, wanatarajiwa kuanza elimu ya msingi (darasa la kwanza) Mkoani Lindi punde muhula mpya utakapoanza tarehe 11 mwezi huu. Kati ya idadi hiyo wavulana ni 15,266 na wasichana ni 14,969 huku kwa upande wa darasa la awali wanaotarajiwa kuanza darasa hilo ni wanafunzi 27,220...
Back
Top Bottom