Liwale: Kijana anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mke wa mtu

May 4, 2020
32
37
Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Saidi Haji Ngamila (30) mkazi wa Kijiji cha Barikiwa Wilaya ya Liwale kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha kali na kutengenganisha kichwa na kiwiliwili na kisha kuchimba shimo na kumfukia Mwajuma Ally Lipala (49) Mkazi wa Kijiji cha Barikiwa.

Kwa mujibu wa maelezo ya mume wa marehemu Rashid Ally Mkumba (69) Aprili 14,2022 yeye pamoja na marehemu mkewe walienda kwenye shamba lao la mahindi na mihogo ambapo walikuwa na ujenzi wa kibanda kwa ajili ya kulinda wanyama waharibifu na wakati anaendelea na ujenzi ndipo marehemu aliaga kuwa anaenda kukata nyasi za kuezekea kibanda hicho lakini hakurudi tten, kisha akaenda kutoa taarifa kwa uongozi wa kijiji Ambapo juhudi za kumtafuta zilianza na ilipofika Aprili 16, 2022 mwili wake uligundulika ukiwa umefukiwa pembezoni mwa nyumba ya Saidi Haji Ngamila ambaye ni mtuhumiwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi amesema kuwa polisi kwa kushirikiana na ndugu wa marehemu walibaini Mundu ya kukatia nyasi aliyokuwa anaitumia marehemu siku aliyotoweka, viatu ambavyo wa mara ya mwisho alikuwa amevaa vilikuwa nyumbani kwa mtuhumiwa.

Aidha, Kamanda Kitinkwi ameongeza kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa marehemu na mtuhumiwa walikuwa na mahusiano ya kimapenzi.

LINDI MKE WA MTU.png
 
Mshukuru MUNGU kuzaliwa ama kuishi mjini,uhaba wa wanawake kijijini hauna mfano

Huku ni hela yako tu labda kuwe na bahati mbaya fulani

Umri wa mwanamke 49,
Umri wa mwanaume 30.

Anyway umri ni namba tu,

Namuomba MUNGU niwe na mwisho mwema kwenye haya maisha.
 
Mama wa miaka 49 unatembea na kijana wa miaka 30! Halafu mwisho wa siku anakuua kikatili na kutoroka! Baada ya kumdanganya mume wako unaenda kukata nyasi! kumbe unaenda kuchepuka.......!!!

Ila gap la umri nalo ni kubwa kati ya mume wa marehemu na mke wake! 🤔 69-49=20! Dah! Lyatonga my brother, watch your back!
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Saidi Haji Ngamila (30) mkazi wa Kijiji cha Barikiwa Wilaya ya Liwale kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha kali na kutengenganisha kichwa na kiwiliwili na kisha kuchimba shimo na kumfukia Mwajuma Ally Lipala (49) Mkazi wa Kijiji cha Barikiwa kwa.

Kwa mujibu wa maelezo ya mume wa marehemu Rashid Ally Mkumba (69) Aprili 14,2022 yeye pamoja na marehemu mkewe walienda kwenye shamba lao la mahindi na mihogo ambapo walikuwa na ujenzi wa kibanda kwaajili ya kulinda wanyama waharibifu na wakati anaendelea na ujenzi ndipo marehemu aliaga kuwa anaenda kukata nyasi za kuezekea kibanda hicho lakini hakurudi tena ,kisha akaenda kutoa taarifa kwa uongozi wa kijiji Ambapo juhudi za kumtafuta zilianza na ilipofika Aprili 16,2022 mwili wake uligundulika ukiwa umefukiwa pembezoni mwa nyumba ya Saidi Haji Ngamila ambaye ni mtuhumiwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi amesema kuwa polisi kwa kushirikiana na ndugu wa marehemu walibaini Mundu ya kukatia nyasi aliyokuwa anaitumia marehemu siku aliyotoweka,viatu ambavyo wa mara ya mwisho alikuwa amevaa vilikuwa nyumbani kwa mtuhumiwa.

Aidha, Kamanda Kitinkwi ameongeza kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa marehemu na mtuhumiwa walikuwa na mahusiano ya kimapenzi.

miaka 30 kwa 49...dogo alishanogewa na mvinyo wa zamani
 
Mshukuru MUNGU kuzaliwa ama kuishi mjini,uhaba wa wanawake kijijini hauna mfano

Huku ni hela yako tu labda kuwe na bahati mbaya fulani

Umri wa mwanamke 49,
Umri wa mwanaume 30.

Anyway umri ni namba tu,

Namuomba MUNGU niwe na mwisho mwema kwenye haya maisha.
Mkuu umesahau na umri wa mume wa malehemu miaka 69...
Duh!!
 
Mama wa miaka 49 unatembea na kijana wa miaka 30! Halafu mwisho wa siku anakuua kikatili na kutoroka! Baada ya kumdanganya mume wako unaenda kukata nyasi! kumbe unaenda kuchepuka.......!!!

Ila gap la umri nalo ni kubwa kati ya mume wa marehemu na mke wake! 69-49=20! Dah! Lyatonga my brother, watch your back!
Kwamba lyatonga.
Hahahahahahahahahahaha.......
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Saidi Haji Ngamila (30) mkazi wa Kijiji cha Barikiwa Wilaya ya Liwale kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha kali na kutengenganisha kichwa na kiwiliwili na kisha kuchimba shimo na kumfukia Mwajuma Ally Lipala (49) Mkazi wa Kijiji cha Barikiwa kwa.

Kwa mujibu wa maelezo ya mume wa marehemu Rashid Ally Mkumba (69) Aprili 14,2022 yeye pamoja na marehemu mkewe walienda kwenye shamba lao la mahindi na mihogo ambapo walikuwa na ujenzi wa kibanda kwaajili ya kulinda wanyama waharibifu na wakati anaendelea na ujenzi ndipo marehemu aliaga kuwa anaenda kukata nyasi za kuezekea kibanda hicho lakini hakurudi tena ,kisha akaenda kutoa taarifa kwa uongozi wa kijiji Ambapo juhudi za kumtafuta zilianza na ilipofika Aprili 16,2022 mwili wake uligundulika ukiwa umefukiwa pembezoni mwa nyumba ya Saidi Haji Ngamila ambaye ni mtuhumiwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi amesema kuwa polisi kwa kushirikiana na ndugu wa marehemu walibaini Mundu ya kukatia nyasi aliyokuwa anaitumia marehemu siku aliyotoweka,viatu ambavyo wa mara ya mwisho alikuwa amevaa vilikuwa nyumbani kwa mtuhumiwa.

Aidha, Kamanda Kitinkwi ameongeza kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa marehemu na mtuhumiwa walikuwa na mahusiano ya kimapenzi.

Anatafutwa kwa tuhuma za kuua mke wa mtu
  1. Asingekuwa mke wa mtu asingetafutwa?
  2. Je huwa kuna mke wa mnyama?
 
Ili kupata umri wa marehemu.
Unachukua umri wa mume (69) Unajumlisha umri wa mtuhumiwa (30) na kisha gawa kwa mbili ili kupata 49.

Kweli namba hazidanganyi.

R.I.P marehemu
 
Mama wa miaka 49 unatembea na kijana wa miaka 30! Halafu mwisho wa siku anakuua kikatili na kutoroka! Baada ya kumdanganya mume wako unaenda kukata nyasi! kumbe unaenda kuchepuka.......!!!

Ila gap la umri nalo ni kubwa kati ya mume wa marehemu na mke wake! 🤔 69-49=20! Dah! Lyatonga my brother, watch your back!
49-30=19! Nani zaidi?
 
Back
Top Bottom