Search results

  1. araway

    Natafuta mabelo ya nguo na viatu vya mtumba

    Nataka kuuza mabelo ya mtumba kwa jumla .wapi ntapata mzigo wa jumla namimi niweze kuuza jumla. Naomba mwenye taatifa ya bei za jumla nguo nziro zisizo chakachuliwa Na mtaji kiasi gani unaitajika.nipo simiyu
  2. araway

    Ligi Kuu Vodacom: Simba vs Ndanda

    NAOMBA MWENYE UPDATE ZA MECHI YALEO BAINA YA NDANDA FC NA MNYAMA ATUWEKEE TAFADHALI
  3. araway

    Poor customer service Airtel hii si sawa! Msaada tafadhali

    Ndugu zangu nimekuja hapa nahitaji msaada kuhusiana na huduma za mtandao wa airtel. Tarehe 1 October 2015 nilinunua umeme kupitia airtel money wenye thamani ya elfu 12. Kama kawaida walikata salio na nimekuwa nikisubiri token hadi leo sijafanikiwa kuzipata. Nimepiga customer care zaidi ya mara...
  4. araway

    Drip irrigation system

    wakuu natafuta system nzima ya drip irrigation kwa ekari moja naomba mwenye uelewa Wa wapi naweza pata na bei yake naomba anijuze.nitafurahi kama nitajua na bei
  5. araway

    msaada tutani-TECNO P5

    pls my p5 reboot automatically evrytym i on it.plus it will just display tecno on the screen and it will hang. some one please help!
  6. araway

    Ilinilazimu kutoa rushwa ili kunusuru kazi yangu (trafiki na mradi wa tochi za barabarani)

    nilipatwa na dharura iliyonifanya nisafiri toka mwanza kwenda dar na kurudi siku ya jumapili juzi ili niwahi kibarua changu ambapo nilitoka bila kuaga katika kituo changu cha kazi. namshukuru mungu nimerudi salama na sasa nipo kwa kibarua changu. kilichonisibu na hadi kufikia kuandika haya...
  7. araway

    kiwanja na matofali bei sawa na bure

    kipo morogoro -mazimbu road mkabala na kota za lapf kama sio nssf. kina tofali elfu 10 na lori tano za mawe. bei ni 8,500,000 za kitanzania ukubwa ni mt 33 kwa 33 kwq 55 kwa 14 kwa 22 chora chini utaelewa kimekaa kama saba (7) au l. shanielewa. sababu za kuuza- nimehamishwa kikazi morogoro...
  8. araway

    Nimeanza kufuga kwa mara ya kwanza

    nimeanza kufuga kwa mara ya kwanza kuku wa kienyeji! kwa kuanza nimenunua kuku 9 kati ya hao jogoo ni moja ambaye namwona bado ndama . nina siku ya tatu tangia nianze na leo nimeamka nimeona kuku mmoja anapinda mgongo na anakuwa kazubaazubaa sasa sijui kama ndio kideri kimeanza! naomba mdaqu...
  9. araway

    Nimeshindwa kuimalizia -nauza bei ya used vits

    nyumba ipo kihonda mazimbu road bei millioni 7.5 maongezi yapo. ninaiuza kutokana na kuhamishwa mkoa kikazi na kuwa mbali naamini nitashindwa kuihudumia . MAWASILIANO-0715026030
  10. araway

    Natafuta mashine za kutengenezea mikate

    wakuu nimefanikiwa kupata oven ndogo na mixer na hapa nilipo ilinifanikishe zoezi hili natafuta mashine zifuatazo ziwe used au mpya ilimradi ziwe zinauwezo mzuri wakufanya kazi. mwenye nazo aambatanishe na bei au ni PM kwa mawasiliano! 1.Mzani wa digital 2.Prover- kwaajili ya kuumulia mikate...
  11. araway

    Ajali Msata

    ajali nyingine imetokea muda huu maeneo ya msata imehusisha basi na gari ndogo . Nimeona miili ya watu imewekwa pembeni na watu wanaendelea kuwatoa kwenye gari ndogo. Nipo kwenye basi namimi nasafiri ni hicho tu nimeona niwajuze
  12. araway

    natafuta nyumba ya kupanga bariad

    mwenye taarifa ya nyumba ya kupangisha Bariadi naomba tuwasiliane. Natanguliza shukrani
  13. araway

    over bleeding after sex

    msaada p'se for a friend of mine: Alikuwa na mimba ikiwa imefikasha miezi 5 alisitisha tendo la ndoa, mwaka umeisha sasa kajifungua, mtoto anamiezi mitatu juzi ameshiriki tendo la ndoa baada ya kumaliza damu zikaanza kumtoka hadi kupelekea kulazwa hospitalini usiku wa jana. Naomba kujua ni...
  14. araway

    Toshiba laptop for sale

    Toshiba satellite duo core processor 120 gb hd , 1gb ram. nimeitumia mwaka mmoja. 500,000/= System Type Notebook OS Provided Microsoft Windows Vista Home Basic Notebook type Mid-size laptops (5-7 lbs.) , Budget Screen type Widescreen Wireless capabilities IEEE 802.11b , IEEE...
  15. araway

    acer laptop

    Acer laptop 500gb,4gb ram Bluetooth,camera na makilakitu .nimetumia mwezi m1. bei 850,000 System Information Operating System: Windows 7 Ultimate 64-bit (6.1, Build 7600) (7600.win7_rtm.090713-1255) Language: English (Regional Setting: English) System Manufacturer: Acer...
  16. araway

    laptop vs play station

    nina toshiba satelite 120gb,1gb ram, dual core proceser naitaji kubadilishana na playstation. Nawakilisha
  17. araway

    All the scientists die and go to heaven............

    They decide to play hide-n-seek......... Unfortunately Einstein is the one who has the den........... He is supposed to count up to 100... and then start searching..... Everyone starts hiding except Newton......... Newton just draws a square of 1 meter and stands in it right...
  18. araway

    Toyota spacio inauzwa

    Nauza toyota spasio ya mwaka 2000 imetembea km 95000. Ipo katika hali nzuri kama mpya! mtanisamehe maana sina sina picha yake. ipo morogoro. bei 7m!!:confused2: nawakilisha.
  19. araway

    huu ni utapeli kwa wapigakura! bora uchaguzi uhairishwe hadi nipate haki yangu

    wakati wanaanzisha daftari la kudumu la wapiga kura sikuzani kwamba sikumoja nitashindwa kumpigia kura Rais just kwasababu nipo nje ya kituo nilicho jiandikishia, nilizani kuwa kura ya raisi naweza kupiga popote ilimradi niwe na utambulisho ambao kwangu mimi ni hiyo kadi ya mpigakura. najiuliza...
Back
Top Bottom