Toyota spacio inauzwa

araway

JF-Expert Member
Sep 26, 2007
534
144
Nauza toyota spasio ya mwaka 2000 imetembea km 95000. Ipo katika hali nzuri kama mpya! mtanisamehe maana sina sina picha yake. ipo morogoro. bei 7m!!:confused2:

nawakilisha.
 
nauza toyota spasio ya mwaka 2000 imetembea km 95000. ipo katika hali nzuri ni nyeupe ipo katika hali nzuri kama mpya! mtanisamehe maana sina sina picha yake. ipo morogoro. bei 7m!!:confused2:

nawakilisha.

yale yale mbuzi kweny gunia mkuu bongo imeinga lini? kula 5M
 
yale yale mbuzi kweny gunia mkuu bongo imeinga lini? kula 5M

mkuu tatizo ni camera tu sinayo , ningeiweka hapa ila usihofu kwa mnunuzi ni lazima ataitaji kuiona na kama upo morogoro ni kiasi chakuniambia nikuletee ulipo uithaminishe. hauziwi mtu mbuzi kwa gunia hapa.gari ipo swafi kabisa.:A S thumbs_up:
 
Sawa mi niko moro, kama tunaweza elewana fresh kwa 6m tuonane, nitakutumia namba yangu ya simu kwenye inbox yako.
 
Sawa mi niko moro, kama tunaweza elewana fresh kwa 6m tuonane, nitakutumia namba yangu ya simu kwenye inbox yako.

copy that! ukipita mitaa ya sabasaba CCM mkoa nicheki nipo nayo mitaa hii kunamambo nayaweka sawa.0715026030.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom