Ligi Kuu Vodacom: Simba vs Ndanda

araway

JF-Expert Member
Sep 26, 2007
534
144
NAOMBA MWENYE UPDATE ZA MECHI YALEO BAINA YA NDANDA FC NA MNYAMA ATUWEKEE TAFADHALI
 
Hakuna anae fuatilia timu za matopeni kwasasa. Macho na masikio yameelekezwa Rwanda kwenye anga za kimataifa.
Labda jaribu kumuukiza Haji Manara atakupa updates za wamatopeni.
 
Hakuna anae fuatilia timu za matopeni kwasasa. Macho na masikio yameelekezwa Rwanda kwenye anga za kimataifa.
Labda jaribu kumuukiza Haji Manara atakupa updates za wamatopeni.
...rilaaxxx wacha sindano ziingie.!!
 
Ndanda wakichezaga na Yanga nawependa sana wanapiga kazi mwanzo mwisho ila wakichenzaga na Simba wanakuwaga wavivu ata kufuata mipira, ukiangalia ata magori waliyofungwa unaona uvivu wa kufuata mipira tu
 
MPIRA UMEKWISHAAAUMEKWISHAAA

(Full Time)

SIMBA 3-0 NDANDA
 
Kombe wanaweza beba simba pasipokutegemea. sie mby cty tunapigania kubaki vpl nyie wa ubingwa acha muisome.

This time around yanga lazima muache tatu sokoine na ndo mtapotea vibaya aisee
 
Acha kurukaruka mwisho wenu wakushiriki umefika timu ya kimataifa inayoishia hatua ya pili
 
Back
Top Bottom