Ajali Msata

araway

JF-Expert Member
Sep 26, 2007
534
144
ajali nyingine imetokea muda huu maeneo ya msata imehusisha basi na gari ndogo . Nimeona miili ya watu imewekwa pembeni na watu wanaendelea kuwatoa kwenye gari ndogo. Nipo kwenye basi namimi nasafiri ni hicho tu nimeona niwajuze
 
Duh! kaz kweli, ndo viongozi wetu wanatoa sadaka au ndo misukule ya mama rwakatale inataka damu hapo msata?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom