Search results

  1. Ston Merchant

    Ngozi

    Wana Jf naomba msaada wa kufahamu wp ntapata daktari bingwa wa ngozi...
  2. Ston Merchant

    Konda na wanafunzi

    Usiku mmoja konda alikua kalala, ghafla mdogo wake akaamka na kwenda chooni, alivyorudi ile anafunua neti tu..!, Konda akamzuia na kumwambia wanafunzi wanatosha......
  3. Ston Merchant

    Mkuu wa kaya na zoezi la sensa

    Mkuu wa Kaya (mhaya) akitoa maelekezo kwa dada wa kazi kabla ya kuondoka nyumbani asubuhi ya leo: .... mimi natoka watu wa sensa wakiulizia nimeenda wapi waambie nimeenda bank kuchukua milioni 30 kwa ajili ya ada za kaka zenu wawili wanaosoma PHD Uingereza, wakiuliza mu wangapi waambi tuko...
  4. Ston Merchant

    Chadema's vice president 2015.....?

    Kwa kiasi flani naamin CDM walikurupuka au kutokupata mwakilishi sahihi wa uVICE.. It's high time wajipange na mtu ambae atachukua nafasi hii kwn kwa kupata mtu sahihi na mwenye influence ina uwezo wa kuchangia katika ushindi wa 2015...! Who do you think fits this position...?
  5. Ston Merchant

    Said Mtanda vs Dr. Hamis Kigwangalla

    Said Mtanda aibuka kidedea kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika hivi punde bungeni kuwania nafasi ya ujumbe katika bunge la Africa. Said Mtanda kapata votes 142 viz a viz Hamisi Kigwangalla with 76 votes. Source: Toka Bungeni Live
  6. Ston Merchant

    New: Wapinzani mpo wp.....????

    :alien: Inasikitisha sna Wabunge wa Upinzani kutoongelea swala nyeti na la msingi kma hli la NSSF...! Sio bungeni sio mtaani wabunge wa upinzani hawajavalia njuga ishu hii na inanifanya nijiulize; - Wapinzani wana maslahi gn na haya marekebisho ya NSSF ..?
  7. Ston Merchant

    Wajenzi

    Jamaa watatu walienda kuomba tenda ya kujenga uzio wa nyumba ya serikali, MJENZI 1: Mimi naweza kujenga uzio kwa shilingi milioni 2, vifaa milioni,wajenzi laki tano na mimi nitapata faida laki tano. MJENZI 2: Mimi nanaweza kujenga uzio huo kwa shilingi milioni tatu, vifaa milioni, wajenzi...
  8. Ston Merchant

    Joseph Selesani achangia kwa mara ya kwanza bungeni baada ya ajali

    Awapongeza viongoz mbl mbl wa kitaifa kwa ushirikiano kipindi cha ajali na msiba... 1. Pongezi......Mwenyezi Mungu, CHADEMA, Jakaya Kikwete, Edward Lowasa, William Lukuvi, Anna Makinda, Agrey Mwandri, Reginald Mengi, Mizengo Pinda, James Mbatia, Augustion Mrema, Madaktari na watu wte kwa...
  9. Ston Merchant

    Joseph Selesani achangia kwa mara ya kwanza bungeni baada ya ajali

    :eek2:Awapongeza viongoz mbl mbl wa kitaifa kwa ushirikiano kipindi cha ajali na msiba... 1. Pongezi......Mwenyezi Mungu, CHADEMA, Jakaya Kikwete, William Lukuvi, Anna Makinda, Agrey Mwandri, Reginald Mengi, Mizengo Pinda, James Mbatia, Augustion Mrema, Madaktari na watu wte kwa ujumla. 2...
  10. Ston Merchant

    Napenda chadema

    Dah...! Natumia fursa hii kusema kwa sauti kubwa mchana huu kuwa napenda chama changu IMARA CHADEMA...! Kwa wapenda madiliko hawatajuta ku support CHADEMA.......... hate t o lv t....... nawakilisha
  11. Ston Merchant

    Mmasai na kanisa

    Mmasai mmoja kaenda mjini na kondoo wake, kufika mjini akaamua aende kanisani, kufika mlangoni akasita.. hku anatafakar kidogo padri akamshtua na mazungumzo yakawa hvi; Padri: Masai upo salama? mbona umesimama mlangoni? Ingia ndani.. Masai: Mjinga kweli wewe unadhani sijui kwamba kuna simba...
  12. Ston Merchant

    Unamjua...?

    Baba: Unamjua Anna Makinda mwanangu? Mtoto: Hapana Baba Baba: Pumbavu sana, kuwa makini na habari za kijamii haswa kufatilia Bunge Mtoto: Baba unamjua Godfrey..? Baba: Simjui Mtoto: Na wewe pumbavu, kuwa makini na mama shauri yako hpo vp?
  13. Ston Merchant

    Majibu ya maudhi

    Jamaa mmoja amwambia jirani yake hvi..! Jamaa: Dah jirani leo siku ya tatu jicho linancheza cjui tatzo litakua nn..? Jirani:Sijui tatzo la jicho kucheza ila siku yakicheza ****** niambie..! Je unafkiri huyu jamaa anataka kumfanyaje?
  14. Ston Merchant

    Vituko kanisani

    PADRI alikua anafuga kuku siku moja jogoo kapotea akaamua kutangaza kanisani. Padri: Waumini wangapi wana jogoo? Wanaume wote wakasimama..! Padri: Sio hivyo namaanisha wangapi wameona jogoo? Wanawake wote wakasimama..! Padri: Hamjanielewa, wangapi wameona jogoo wangu? Masista wote wakasimama...
  15. Ston Merchant

    Dala dala scandal

    Jamaa mmoja akiwa kwenye daladala tumbo likamjaa gesi akataka kujamba lkn akaogopa, baada ya kusikia kuna mziki akaamua kuachia vishuzi kulingana na bit ya mziki akijua hakuna anaesikia. Heh..! aliposhuka akashangaa kuona kila mtu anamwangalia kwa mshangao. Akashtuka..! Kumbe mziki aliokua...
  16. Ston Merchant

    Cdm tv channel

    Kuna tatzo ninalo pata hpa.....!!!!! Ni kwann CDM haina TV Channel yke jst lyk CCM na TBC. Au kuna vizuizi kwenye swala hlo? Nawakilisha.
Back
Top Bottom