Mkuu wa kaya na zoezi la sensa

Ston Merchant

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
393
103
Mkuu wa Kaya (mhaya) akitoa maelekezo kwa dada wa kazi kabla ya kuondoka nyumbani asubuhi ya leo:

.... mimi natoka watu wa sensa wakiulizia nimeenda wapi waambie nimeenda bank kuchukua milioni 30 kwa ajili ya ada za kaka zenu wawili wanaosoma PHD Uingereza, wakiuliza mu wangapi waambi tuko nane, ila Bibi mzaa baba ameenda India kutibiwa na yupo hko mwezi mzima sasa na imenicost milioni 70 mpk dakika hii.

Mama yenu waambie yupo site anasimamia ushushwaji wa vifaa vya ujenzi kwa ajili ya finishing vimetoka China vinagharimu milioni 600.

Halaf na watoto wengine waliobaki waambie wameenda kutembea Serengeti na rafiki zao kutoka Australia na wanatumia gari mbili yani Range na Hummer, kama watahitaji kuongea na mimi wape namba yangu ya Blackberry tu ile ya Samsung waambie huwa natumia kwa familia tu...................
 
Duh! Tuna balaa sie jamani lakini tushazoea bila majigambo maisha hayaendi!
 
Back
Top Bottom