Wajenzi

Ston Merchant

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
393
103
[h=6]Jamaa watatu walienda kuomba tenda ya kujenga uzio wa nyumba ya serikali,

MJENZI 1: Mimi naweza kujenga uzio kwa shilingi milioni 2, vifaa milioni,wajenzi laki tano na mimi nitapata faida laki tano.
MJENZI 2: Mimi nanaweza kujenga uzio huo kwa shilingi milioni tatu, vifaa milioni, wajenzi milioni na mimi mwenyewe ntapata faida ya milioni. Mjenzi wa tatu akamwita pembeni mtoa tenda,

MJENZI 3: Sikiliza mkuu mi nataka milioni 12, milioni tano zako, tano zangu halafu tunamkodisha yule **** wa kwanza ajenge uzio, imekaaje hiyo? Akapata tenda mara moja.
[/h]
 
Back
Top Bottom