Mmasai na kanisa

Ston Merchant

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
393
103
Mmasai mmoja kaenda mjini na kondoo wake, kufika mjini akaamua aende kanisani, kufika mlangoni akasita.. hku anatafakar kidogo padri akamshtua na mazungumzo yakawa hvi;

Padri: Masai upo salama? mbona umesimama mlangoni? Ingia ndani..


Masai: Mjinga kweli wewe unadhani sijui kwamba kuna simba wa yuda
 
mbona wamasai hawafugi kondoo, au ndo kichekesho chenyewe? anyway ila vichekesho vinavyohusu imani za watu siyo vizuri
 
Back
Top Bottom