Cdm tv channel

Ston Merchant

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
393
103
Kuna tatzo ninalo pata hpa.....!!!!! Ni kwann CDM haina TV Channel yke jst lyk CCM na TBC. Au kuna vizuizi
kwenye swala hlo?

Nawakilisha.
 
wana TV tuna Mungu, habari zinafika kwa speed ya ajabu 120 per second, TV ya nn mapema sana.
 
Kwa mimi JF inanitosha saana,kwani hbr za chama tawala Chadema nazipata bila ubaguzi wala chenga....
 
Kwa mimi JF inanitosha saana,kwani hbr za chama tawala Chadema nazipata bila ubaguzi wala chenga....
sio tv 2 kuna umuhimu pia wa kua na gazeti na redio rasmi ya chama hili nilakueanyia kazi mapema kwan muda n ss elimu ya uraia inahtajiki ili kukabiliana na propoganda chafu za magamba
 
Back
Top Bottom