Jana akihojiwa katika kipindi cha michezo, Clouds FM, Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amedai uwezo wa yule mkata umeme Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman toka nchini Sudan ni sawa na uwezo wa wachezaji wawili, Chama na Kahata.
Namnukuu.. "Yule Shiboub achana nae bhana.. Nadhani Chama na...
Kama Mnyama kufungwa 5 ni aibu ya dunia.. Waarabu walioogongwa 8 leo na TP Mazembe, aibu yao ni ya dunia au ulimwengu??
Ndala siku ya leo ni yenu.. Furahini sana.. Ila kaa mkijua 16/02 mtalia na kusaga meno Taifa.
Mkuu, hayo mambo ya kamati za ufundi tulishayapa kisogo mda sana.. Sasa hivi mpira wetu ni uwanjani tu, na si vinginevyo na hiki ndicho anachoamini Profesa Patrick Aussems.
Hebu rudia kuangalia tena ile migoli ya Mnyama.. Kuna uchawi pale?! Ni akili nyingi sana zilitumika. Kwa kifupi, mtapata...
Nimeipata hiyo Mkuu.. Ila ile gemu ya Nkana ilikua ya moto sana. Apumzike kwa amani. Tunachoenda kukifanya katika hatua ya makundi, naamini atakua proud na Mnyama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.