Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,299
- 13,334
Kama tulizowapigaga enzi za Mafisango tena mtulie kabisaaaKhamsaaaa 5-0
Kama tulizowapigaga enzi za Mafisango tena mtulie kabisaaaKhamsaaaa 5-0
Mpaka kipa alikuwepo kwa score sheetKama tulizowapigaga enzi za Mafisango tena mtulie kabisaaa
Nilijua tu mechi kipindi cha pili haitokuwa rahisi
Uzuri ckujaliwa kushabikia mpira wa bongo kwahyo sina timuKama tulizowapigaga enzi za Mafisango tena mtulie kabisaaa
Jamaa waliridhika hawakutaka kuongeza aibu ingawa uwezo walikuwa naoNilijua tu mechi kipindi cha pili haitokuwa rahisi
Hata hamna haya kuchapwa bao tano first half, Kwani mlichezesha viwete first half?Ns nyie makelele kibao hata timu moja Champions League hamna.
hhahahaahah!!Sasa Mkuu huko kwao joto si ndio kwao? Yani unamtishia Muarabu joto? Kuwa serious bhana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona unasifia matokeo ya hamsaaaHamna goli au likiwepo ni moja na sio zaidi na anaweza kulipata Simba.
Tactically mechi ilishaisha by HT, vyura mlijua Ahly watarudi na tempo ile ile ya first half wakati mecho tayari ilishaisha. Ndio maana wengi mlianza kutabiri nane mara tisa ila mbinu za soka hewa kabisa hamzijui