Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

Wawakilishi pekeee kutoka tanzania kwenye ligi ya club bingwa africa yangaaa leo watatifuana na timu bora kabisa kutoka zambia zesco..

Karibuni kwa updates za matukio yote taifa

Screenshot_20190914-123001~2.jpeg



KIKOSI CHA YANGA

1. Metacha Mnata
2. Mapinduzi Balama
3. Ally Mtoni
4. Kelvin Yondani
5. Lamine Moro
6. Abdulaziz Makame
7. Mohammed Issa 'Banka'
8. Feisal Salum
9. Sadney Urikhob
10. Papy Tshishimbi
11. Patrick Sibomana

SUBS

Farouk Shikalo
Deus Kaseke
Mrisho Ngasa
Juma Balinya
Ally Ally
Maybin Kalengo
Muharami Issa


KIKOSI CHA ZESCO

1. Jacob Banda
2. Marcel Kalonda
3. Simon Silwimba
4. John Chingandu
5. Kondwani Mtonga
6. Umaru Kasumba
7. Thabani Kamusoko
8. Jesse Were
9. Mwila Phiri
10. Clement Mwape
11. Quadri Kola

SUBS
Solomon Sakala
Kosuke Nakamachi
Misheck Chaila
David Odhiombo
Mwape Mwelwa
Saviour Konkola
Samson Banda
 
Kwa morali hii walionayo Zesco nahisi wanajiamini na wanajua wanachokifanya. Nimefurahishwa zaidi na furaha walionayo wachezaji, sidhani kama kuna madeni ya mishahara pale. Ngoja tuone mechi ya leo yanga itavuna point ngapi.
Alikwambia mechi ya mtoano ina point Nani?¿¿?
 
Mashabiki wameshacheza mpira ila Yanga na Zesco bado hazijacheza, mpira wa uwanjani dakika 90 ila mpira wa mashabiki usiochezwa uwanjani unaweza kuwa na Sekunde 1
 
Back
Top Bottom