Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 2,283
- 3,011
Mechi ya Simba dhidi ya JS Saoura iliyochezwa pale mchina, laiti kama ingelichezwa mida ya saa moja moja hivi usiku, nadhani tungekuwa tunaongea mengine kwasasa.Kweli hili kundi simba ni underdogs haswa. Js Soura pamoja na kwamba wamafungwa na Vita huko kinshasa dk ya 90 ni 2-1, ila Vita watalala na viatu ni ishara kuwa simba akienda kwa waarab kuna kapu la magoli lingine.
Sent using Jamii Forums mobile app