Polonium
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 233
- 137
Kwa nini asisajiliwe Ulaya ???Jana akihojiwa katika kipindi cha michezo, Clouds FM, Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amedai uwezo wa yule mkata umeme Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman toka nchini Sudan ni sawa na uwezo wa wachezaji wawili, Chama na Kahata.
Namnukuu.. "Yule Shiboub achana nae bhana.. Nadhani Chama na Kahata mnawafahamu.. Sasa wale ukiwachukua wote kwa pamoja, ndio unampata Shiboub mmoja."
Anaendelea.. "Yule jamaa kwa jinsi anavyosambaza mipira uwanjani, wanamuita Transit.. Shiboub hakai na mipira kabisa, kazi yake ni kuisambaza tu.. Karibuni Taifa mumshuhudie".
Nipo nawaza hapa.. Kama katika timu Bora katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati, Simba SC,
Shiboub = Chama + Kahata,
Nikipindua Shilingi si itakua,
Shiboub = Papy + Feisal + Sibomana + Makame + Bigirimana + Daudi + Chenjiiiiiii
Anyway karibuni Taifa, mshuhudie Transit linavyosambaza mizigo.
Huo ni upenzi wa kilevi, idiot !!