Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Kama unaangalia mpira na shabiki/mashabiki wa Simba kuwa makini, ukifanya kama unajikuna kitakachokupata tutakuletea uji MOI!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lol
IMG-20190202-WA0015.jpeg
IMG-20190202-WA0014.jpeg
IMG-20190202-WA0017.jpeg
IMG-20190202-WA0016.jpeg
IMG-20190202-WA0020.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani bado una nguvu hata ya kuongea ..hahaa mhh mkuu una roho ngumu

Ama kweli simba sio baba yako wala mama yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ndio team ya kwanza kufungwa tano kwani?

Tatizo mivyura mingi hapa ni malimbukeni hata mpira hawajui ndio maana wamefurika hapa hata hawatuachii nafasi sisi wana simba tukafanya tactical analysis ya team yetu.

Wanafanya spamming tu kutujazia nzi hapa.


Tokeniii vyuraaa
 
Back
Top Bottom