Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Simba pakini tu Lori la mchanga Waarabu watakuja kukutana kiama cha 34° huku na tutawafanyia figisu la kucheza saa 7 mchana

Sasa Mkuu huko kwao joto si ndio kwao? Yani unamtishia Muarabu joto? Kuwa serious bhana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa Mkuu huko kwao joto si ndio kwao? Yani unamtishia Muarabu joto? Kuwa serious bhana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Unajua eneo mechi inapochezwa kuna kiwango gani cha joto?
 
Wewe badala uwaze aibu ya Dunia nzima unawazia Yanga tu, mbumbumbu FC.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Kama Mnyama kufungwa 5 ni aibu ya dunia.. Waarabu walioogongwa 8 leo na TP Mazembe, aibu yao ni ya dunia au ulimwengu??
Ndala siku ya leo ni yenu.. Furahini sana.. Ila kaa mkijua 16/02 mtalia na kusaga meno Taifa.
 
Wa Tanzania wenzangu, uwe Simba au Yanga, nawaomba sana msiumize mioyo yenu kwa kudhani ntaweza washinda maarab! Hasa Al ahly. Ni professional team ambayo imebeba kombe la Africa 8 times. Simba ni amateur team kama ilivyo Yanga na ligi yetu ya bongo. Hatuwezi shindana na Giant club kwa waarab na Africa. Nimeanza kufatilia mpira miaka ya mwanzo ya 80. Yanga tushafungwa sana na hawa waarab hatuwezi kamwe wacheka simba. Yanga tushateswa sana na Gor Mahia enzi za akina Bob Ogola na AFC leopard za Kenya wametufunga mara nyingi sana wakati akina Charles Boniface mkwasa wakicheza. Mpaka TFF au Tanzania tutakapoamua kufanya ligi yetu iwe professional. Vinginevyo tutabaki na unazi wetu tu wa Yanga na Simba.
 
Hawataki nipate avatar mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna goli au likiwepo ni moja na sio zaidi na anaweza kulipata Simba.

Tactically mechi ilishaisha by HT, vyura mlijua Ahly watarudi na tempo ile ile ya first half wakati mecho tayari ilishaisha. Ndio maana wengi mlianza kutabiri nane mara tisa ila mbinu za soka hewa kabisa hamzijui


 
Back
Top Bottom