SIMBA MSINIANGUSHE

SINA JAMBO

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
340
270
kwa mara ya kwanza nimewekeana na mtani wangu kiasi cha shilingi laki moja endapo mtabeba ubingwa

ni kwel ligi ni ngumu lakini nawaamini hasa ukizingatia yanga katuacha point nyingi

tafadhalini simba chukueni ubingwa niipate hio laki maana ntaumia endapo mtakosa ubingwa na laki ikasepa

bora hata Azam mbebe ili turudishiane hela

kila la heri SIMBA katika mbio za ubingwa

I AM SINA JAMBO
 
Mkuu kwa kua Simba anaenda kua Bingwa wa TPL katika msimu huu wa 2018/19.. anza kuipangia matumizi mapema hiyo laki 1.
 
Halafu msimu huu umekimbia hapa Jukwaani mapema sana,na nilikwambia hutafika March Mwakani kabla hujakimbia kumbe imekuwa mapema sana tofauti na nilivyofikiri.
 
Back
Top Bottom