Search results

  1. peri

    Mahakama Kisutu yahairisha tena kesi ya Macha hadi Nov 18

    Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilishindwa kutoa uamuzi juu ya mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Aingaya Macha kama ana kesi ya kujibu au la. Hali hiyo ilitokana na Hakimu Mkazi wa Kisutu, Devotha Kisoka anayesikiliza kesi hiyo kutokuwepo na Hakimu...
  2. peri

    Simu inanidhuru

    Kichwa cha Habari chahusika. Nikiweka simu sikioni kuongea hatakama ni kwa dakika 2 tu Kichwa kinauma sana na mpaka sikio linauma. Yapata wiki sasa tangu nianze kupata hili tatizo. Zamani nlikuwa nikiongea kwa muda mrefu kama nusu saa ndio nasikia maumivu ya kichwa japo hayakuwa makali kama...
  3. peri

    Zingatio La Wiki :Kuwa Bwana Wa Nafsi Yako

    Na Naaswir Haamid Nafsi ni kama mtoto mdogo, haichoki wala hailali kutamani mambo. Na kawaida ya nafsi ni yenye kutamani maovu. Mfano mdogo tu, ni namna inavyopenda pumbazo za kidunia kama vile pombe, zinaa, ugomvi na kadhalika. Utaikutia nafsi ipo nyepesi kuyaingia mambo...
  4. peri

    Mwezi Mtukufu Wa Rajab: Ya Kutenda na ya Kujiepusha nayo

    Asalam alaykum; Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala): )) ﺎَﻳ ﺎَﻬُّﻳَﺃ َﻦﻳِﺬَّﻟﺍ ﺍﻮُﻨَﻣ&#65153...
  5. peri

    Mtaji wa 10m afanye bishara gani?

    Habari za muda wadau? Nina rafiki yangu ni muajiriwa serekalini. Kapewa 10m na babake ili ajiimarishe kiuchumi. Hajajua mpaka sasa afanye nini kwani kapewa kwa masharti kuwa afanyi biashara au chochote cha kuzalisha ila asije akaingiza kwenye mambo matumizi mengine kama pombe, wanawake nk...
  6. peri

    Yaliyopita Yameshapita Hayarudi Tena!

    Yaliyopita Yameshapita Hayarudi Tena! Usihuzunike Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Anasema: ((عَفَا اللّهُ عَمَّا سَلَف)) ((Allaah Ameshasamehe...
  7. peri

    Sio Ajali, ni maujanja tu

    Karibuni wadau ubunifu2%255B2%255D.jpg (image)
  8. peri

    Nimelimiss sana

    Karibuni wadau tujumuike kwenye chakula nachokipenda,
  9. peri

    VATICAN gay sex and contraception to Catholics

    The Vatican sends questionnaire on gay sex and contraception to Catholics around the world 38-question survey is available online in England and Wales Pope Francis said Vatican needs to tone down its strict teachings on family Feedback will help Vatican prepare for the Synod of Bishops By...
  10. peri

    Maandamano ya upinzani; polisi wajiweka tayari.

    Nipo njiani naelekea ukonga, hapa tazara nimepishana na ffu wakiwa na difender 3 na gari 2 za maji ya kuwasha wakielekea mjini. Nadhani wanajiweka tayari kwa lolote leo. Tuombee amani, mkutano ufanyike na kuisha salama.
  11. peri

    MJUE Lowasa

    SIFA ZA LOWASA Katika histori ya tanzania, hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa. Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa. Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa. Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya...
  12. peri

    JK akataa stendi ya muda!

    Raisi kikwete kawaagiza mkuu wa mkoa wa dar na menaja wa tanrods mkoa wampe majibu ndani ya wiki moja ni wapi itajengwa stendi mpya baada ya ile ya ubungo kuhamishwa. Amekataa wazo lao la kujenga stendi ya muda pale chuo kikuu (udsm) na kuwaambia huko ni kufuja fedha za serekali. Jk alikuwa...
  13. peri

    Ajali ya basi usiku huu

    basi la kampuni ya gairo lilotoka dodoma kuelekea dar limepata ajali nyuma kidogo ya mto ruvu baada ya kufeli breki na kugonga basi lingine kisha kutoka nje ya barabara. Namshukuru Mwenyezi Mungu hakuna aliyekufa isipokuwa dreva wa basi ndo alojeruhiwa vibaya sehemu za miguuni. Mimi mwenyewe...
  14. peri

    IT Site Mpya Tz

    Welcome all of you to code2gether http://code2gether.eu5.org, forum designed to connect together CIVE students (alumni and current students) and others interested in IT so we can share our IT related issues and help each other through discussion. Be free to use the forum by observing our...
  15. peri

    Eid mubrak

    ||||||||||| E|||||||||| Ei||||||||| EiD|||||||| EiD M|||||| EiD MU||||| EiD MUB|||| EiD MUBA||| EiD MUBAR|| EiD MUBARA| .::. EiD MUBARAK .::. INSHAALAH KESHO 6/11/2011 WAISLAM NCHINI WANAUNGANA NA MAHUJAJI WALIOKO MAKKAH NA WENZAO DUNIANI KOTE KUSHEREKEA EID AL HAJ. ALLAH ATUGHUFIRIE...
  16. peri

    Tigo mnatukera

    Tunawashukuru sana TIGO kwa kudhamini blog hii ya JAMII FORUM ila tunaomba wajirekebishe kwani tumewachoka na huduma zao mpaka tunafikiria kuhama mtandao huu kama huduma zitaendelea kuwa duni na dhaifu hivyo Haya ni mambo machache tu ambayo nayaorozesha hapa Mosi, unampigia mtu simu unaambia...
  17. peri

    Tahadhari

    Kwa uchunguzi nilio ufanya nimetthibitisha kuwa zinaa inarithiwa. Ukiwa mzinifu kuna asilimia zaidi ya 90 kuwa na wanao watakuwa wazinifu. Jaribu kuchunguza mzinifu yoyote utakuta baba/mama yake au wote nao ni wazinifu au walikuwa wazinifu.tujiepusheni wandugu ili tuvinusuru vizazi vyetu kwani...
  18. peri

    Tanesco na muziki

    Majuzi nimeingia makao makuu ya tanesko kilimamnjaro nakakuta muziki wa injili unapigwa kwa sauti ya juu sana ofisini. Naomaba kujua sheria za kazi zinasemaje juu ya uhuru wa mfanyakazai anapokuwa ofisini na mipaka yake.
Back
Top Bottom